Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Yunavyofahamu mitume wakiondoka wanaacha ulinganizi uendelee. Haya huyu wanafunzi wake ni kina nan? Kaacha waemdeleze wapi alipoishi?
 
Mhubiri wa Kimataifa kutoka Nchini #Nigeria, Temitope Balogun Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57

Ni mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN) na Kituo cha runinga cha Emmanuel.

b64b7b3820509d3f61b82db1ae62d34e.jpg
 
Kwani habari ili iwe ni ya kweli ni lazima ipostiwe na Millard ayo ndio iwe uthibitisho?

Millard katengeneza brand moja kubwa sana, kuna siku tulikuwa na kikao fulani na mabosi hivi, ikazungumzwa issue ya reliability.

Mmoja wa mabosi akamtaja Millard kama mfano, yaani mijamaa yote ilikubali kwamba huwa inafanya reference kwa jamaa.

Kila la kheri kwake aisee
 
Kwani yule mkamwana wake/mkwewe wa Arusha anasemaje?
 
Back
Top Bottom