Mimi kwa uzoefu wangu wa kuishi Temeke na maeneo mengine nimegundua kuwa vijana wa Temeke wanaongoza Dar kwa kufanya mazoezi ya kukimbia na viungo nyakati za asubuhi na jioni. Tabia hii imeenea mpaka kwa watoto wadogo. Ikifika weekend ndio kabisa wanakuwa wengi sana mabarabarani wakikimbia kwa vikundi. Sijapata jibu ni kwa nini vijana wa Temeke wanazingatia zaidi mazoezi kuliko vijana wa maeneo mengine ya Dar.
Chukua hatua,timiza haki na wajibu walo kama mtz,andika barua kwa mkuu wa wilaya,usalama etc
Hili nalo huwa kila likiniijia kichwani nahisi kuchanganyikiwa.
ila kwenye maswala ya makabila nadhani sio issue sana,
sababu kwa mfano wauzaji wa mexico nao ni wandengeleko?
wilaya ya temeke kuna mitaa inaitwa 1.mtaa wa shoga
2.mtaa wa mateja....
unategemea nini?
I realize I do not understand well Temeke. Pale naenda kula ugali kiumeni tu naishia juu kwa juu.
Interesting! Pengine ndio maana hakuna mabango mengi ya waganga wanaoongeza nguvu za kiume TMK kama ilivyo Ilala na Kinondoni. Hata hivyo, mbona hatuoni wanamichezo hao machachari toka temeke? Wanaenda jeshini na polisi?Mimi kwa uzoefu wangu wa kuishi Temeke na maeneo mengine nimegundua kuwa vijana wa Temeke wanaongoza Dar kwa kufanya mazoezi ya kukimbia na viungo nyakati za asubuhi na jioni. Tabia hii imeenea mpaka kwa watoto wadogo. Ikifika weekend ndio kabisa wanakuwa wengi sana mabarabarani wakikimbia kwa vikundi. Sijapata jibu ni kwa nini vijana wa Temeke wanazingatia zaidi mazoezi kuliko vijana wa maeneo mengine ya Dar.
umasikini na shule ndogo ndo main reason
Temeke ndo wilaya pekee dar ambako hakuna ombaomba..
go figure.....