Temeke hosptali na housegirl mmenichefua kwa kusababisha vifo hivi..

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,098
8,727
habari zenu wanajamvi?

juzi nilikuwa miongoni mwa watu tuliofika pale kinondoni kwenye mazishi ya dada wa rafiki yangu, aliyekufa kwa sababu ya uzembe wa manesi wa Temke Hospital,

nitaeleza kidgo, marehem alijifungua kwa oparesheni, na alikuwa akiendeleea vizuri kiafya, kumbe wale, manesi walisahau, kumpa kidonge ambacho huwa wanapewa wakina mama wanapojifungua kwa opersheni baada ya lisaaa limoja, wale manesi walisahahu kumpa na walikuja kumpa baada ya masaa, sita, na kuperekea mama kuacha mtoto wa siku mbili.

binafsi niliumia sana na nikona kuwa bado kuna uzembe mkubwa sana katika hosptali za uma.

ili lilikuwa wiki iliyopita, sasa leo tena naamka, napewa taharifa ya kifo cha mtoto wa rafiki yangu wa karibu, (pacha), nauliza chanzo cha kifo naambiwa eti, mfanyakazi alimdomdosha mtoto chini, na kuperekea ubongokushek, na wara hakusema kama alimdondosha, kitu kilicho perekea mtt kuwa anaumwa mara kwa mra, na kulazwa mara amana, na mhimbili paspo kuonekana tatzo, mwishowe baaada ya kifo housegirl anasema mtt alidondoka chini ndio madakitari kucheki ubongo wanakuta tatzo limeisha kuwa kubwa na mtt kupoteza maisha.

kwa wiki hizi mbili ndo hayo niliyokutana nayo, wadau kuweni makini, ila nimejifunza yafatayo kwaza kwa yule mama marehemu, ni kuwa mme au marehemu mkono wao ulikuwa mfupi kwa manesi kama wangewapa chochote basi manesi wangemcare kama rasi vile, nakumbuka wakti wfe wangu anajifungua mhimbiri, nilipoteza kilo nzima wazee, kwa kuwashika mikono watumishi wale, na walimcare wife km mfalme.

ebu nielezeni kwa housegirl mmejifunza nini? na kwa watumishi hawa?
 
Back
Top Bottom