Jaman sisi wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana

Kwa nini mmeenda kuishi karibu na Tembo? Hameni.
Wewe yoda ulishawahi kwenda musoma? Ukiwa njiani unakutana nao wamesimama katikati ya barabara inakubidi usubiri mpaka watoke,ni wao ndio wanatangatanga wanashindwa kubaki maporini wanazurura mpaka kwenye lami! Mali asili(askari wanyama pori) sijui wana kazi gani, na wanalipwa vizuri tu 🙌🏾
 
Kwani hao askari wa TANAPA na Tawa hujaona uzi wao wa anonymous ukitoa kero jukwaani...
 
Back
Top Bottom