TEMBEA UYAONE

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,963
3,675
12800305_1691820821090061_2513923409015086686_n.jpg
 
kwan jogoo huwa anapanda tete ngapi?
nakumbuka home tuliwah kuwa na matetea 12 afu tukaeka jogoo moja tu
aliwatotolesha sawa lkn jogoo siku ya kuchinjwa nyama yake haikulika ilikuwa ngumu kama ya ng'ombe wa maksai
 
Mimi sijatembea lakini nimeyaona hapahapa home kupitia JF. Au na huku ni kutembea pia?
 
Kwa hiyo gari likiwagonga hapo litakuwa limevunja sheria za usalama barabarani. Naamini ni kuku wa kizungu maana wenzetu kila kitu kinafundishika
 
kwan jogoo huwa anapanda tete ngapi?
nakumbuka home tuliwah kuwa na matetea 12 afu tukaeka jogoo moja tu
aliwatotolesha sawa lkn jogoo siku ya kuchinjwa nyama yake haikulika ilikuwa ngumu kama ya ng'ombe wa maksai
huyo jogoo wenu hamna kitu kabisaaa
 
Hahaha!! Inabidi tuwaige kuku sasa, wanafuata sheria kuliko sisi! Nimeyaona Mkuu
 
Hiyo hata hapa bongo mbona inatokea..
Niliwahi shuhudia mbuzi mmoja na mtoto wake mitaa ya mabibo walipotaka kuvuka barabara; walipotokea kuingia barabarani hakukuwa na zebra, walitembea pembeni kuifuata na walipoifikia wakacross kwenda upande wa pili..
Ilikuwa kituko cha mwaka
 
Hao ni mbuzi watu
 
Back
Top Bottom