V valid statement JF-Expert Member Sep 18, 2011 2,851 868 Aug 18, 2012 #6 mbwa wa kizungu anathaminiwa sana, sisi huku mbwa ni koko la kulinda nyumba. Wakati mwengine hata mbwa mwenyewe badala ya kuwalinda, mnamlinda nyie.
mbwa wa kizungu anathaminiwa sana, sisi huku mbwa ni koko la kulinda nyumba. Wakati mwengine hata mbwa mwenyewe badala ya kuwalinda, mnamlinda nyie.
Z ZeMarcopolo Platinum Member May 11, 2008 14,017 7,220 Aug 18, 2012 #7 Whats the joke? Mbona sioni cha kutembea kukiona?