mjomba Bujibuji umenipita kimya kimya nauza miwa jirani tu ya hotel ulimolala? ningekupa hata pingili kadhaa na viazi ukampelekea shemeji ajionee kiburi cha sisi wa mikoani. natumai ukirudi utapita!!