Tembea barabarani salama wakati ukiwa unachati

Tembea barabarani salama wakati ukiwa unachati

Expendabe

Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Hey guys, nimeipata hii app nzuri nikaona ni vyema kushare na marafiki, hususani wale wanaotembea barabarani huku wakiwa wanachat, kiukweli ni usipendelee kutumia simu ukiwa unatembea barabarani lakini ,kuna wale wenzangu na mimi ni vigumu kuacha kwa hiyo jaribu application hii ya iris ukiwa unachati bofya hapa kwa maelezo zaidi 😛oa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom