Mimi mwenyewe huo sistahimili kabisa....au una allergy ya hewa chafu mkuu?Nimesema nilivyo mimi sio wewe, kuna kipindi nilikua mkoa X milimani kuna baridi Wazee wa kule wanavuta Tumbaku balaa aisee mimi na moshi wa Tumbaku ni km umenisogeza kwenye mlango wa Kifo ukiniweka dakika 10 nyingi kwenye ule moshi unaweza ukanikuta nimekufa
Hilo ni pepoππUmbea, udaku, ufukunyuku, yaan najaribu kuacha ila siwezi kabisaa. Lol
Hilo ni pepoNikisikia mwanamke tu, mpaka nywele zinasimama.
Kwa kweli, nahitaji likemewee. ππππHilo ni pepoππ
Basi epuka kukamatwa na polisi wa ccm na watawala wakakupeleka kwenye kituoni na wakakulaza hapo aisee tena iwe usku chumba cha watu 20 mnarundikwa 200 mtajijua huko wenyeweMimi nina madhaifu mengi ila udhaifu mkubwa nilionao siwezi kukaa sehemu ambayo haina hewa ya kutosha yaan Oxygen ya kutosha.
Namaanisha kama ukiniweka sehemu ambayo hakuna Oxygen ya kutosha hua nateseka sana tena sana natesekaaaaa, yaan unaweza ukashangaa umeniua bila kutarajia. Na nikijua tu hii sehemu hakuna Oxygen ya kutosha hua naitafuta Oxygen ilipo kwa hali na mali mpaka niipate nikiipata naanza kupata nafuu.
Tuambie wewe udhaifu wako ni upi?
Nenda kwa Mwamposa keshoππKwa kweli, nahitaji likemewee. ππππ