njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,258
- 7,101
ukikuta mtu mzima na akili zake anashabikia ccm tena kwa mapato yao ya kuibia wananchi ujue huyo hana tofauti na wanaume kama mabinti ambao tumekuwa tukijiuliza wana tatizo gani au ni kweli ndivyo walivyoumbwa..! Mungu haumbi upuuzi huo niwakujitakia..
Pole but Tanzania ni nchi huru huwezi kunilazimisha niwe mfuasi wa itikadi ya chama unachoamini wewe ... Binafsi sijaona mbadala wa ccm ... Wapinzani wakiingia madarakani kitu cha kwanza watakachofanya ni kijiimarisha kichama kutengeneza magazeti Yao ... Radio zao ... Tv stations zao .. hiyo itachukuwa 10 years wananchi mtazidi kutaabika .