Telekinesis

Telekinesis

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,153
Reaction score
829,072
Hili chaweza kuwa kitu kigeni mno masikioni mwa wengi lakini ni kitu kilichopo Katika Ulimwengu huu
Telekinesis ni hali ya kuwa na uwezo na nguvu za kiasili za kuweza kunyanyua na kusogeza vitu kwa viungo vya mwili hasa mikono bila kuvigusa 1444991207116.jpg
Telekinesis ni tendo la psychic ambalo ambalo uwezo wake ni uleule wa kusogeza vitu na kuvihamisha bila kuvigusa-psychokinesis

Sasa hiajalishi kama ni telekinesis au psychokinesis lakini matendo yote haya mawili ni sehemu mojawapo ambayo kisayansi bado yanaacha maswali mengi huku baadhi ya watu Katika tafiti na mabandiko yao wakizihusisha a nguvu za giza
Lakini ukweli ni kwamba mind/ufahamu wa binadamu ni kitu chenye nguvu mno na kwakweli tunachotumia ni sehemu ndogo tu ya nguvu ya ufahamu wote tukio nao... Kidini hasa katika Biblia takatifu hii nguvu inaitwa imani, na tunaambiwa ukiwa na imani ndogo tu isiyozidi ukubwa wa chembe ya haradali utakuwa na uwezo hata wa kuhamisha milima... Hii imani katika Bible ndio telekinesis kwa upande mwingine

Sasa watu hujaribu kumiliki hizi nguvu kwa njia ya mkato au ya kujituma na kupractice, tunapoongelea mambo ya meditation, psychic powers n abilities yoga astral practice nk kimsingi Tunaongelea telekinesis katika secondary stage, baada ya kuchanganya na maarifa mengine Kama hayo
Lakini pia kuna wale ambao hupenda kumiliki nguvu za telekinesis kwa njia za mkato na hapa ndipo watu huingia mikataba na kuzimu na kufanya makafara huku wengi wakiingizwa kwenye dini ya mashetani ili tu aweze kufanya mambo kama hayo

Siku hizi tuna manabii na mitume wengi wanaofanya miujiza mingi hasa ile ya kuwapuliza tu watu na watu hao kuanguka au kunyoosha tu mkono au kidole na nguvu yake kuwaangusha watu.... Msidanganyike ile si nguvu ya kiMungu bali ni aina fulani ya nguvu za kitelekinesis na ki psychokinesis zilizochakachuliwa na mwishowe kuchomekea jina la Yesu kristo kupumbaza watu

Tuna waganga wa kienyeji pia wenye hizi nguvu, lakini huchanganya na mambo mengine ya giza na kuweza kuwapumbaza na kuwarubuni maelfu kwa maelfu

Telekinesis ya kiasili na isiyochakachuliwa haina madhara zaidi ya mtu mwenye hizi nguvu kuweza kufanya maajabu ya kusogeza vitu bila kuvigusa.... Dunia bado ina mengi na mengi bado hatuyajui... Usiunyime ufahamu wako maarifa bado kuna mengi huyajui
 
Ni kweli mkuu kuhusu hii positive thoughts ni kwamba MIND zetu zinakosa nguvu kwa sababu zinakuwa na mizigo mingi ndani yake, na ndio mana zinashindwa kufanya mambo mengi tu.

Kinachohitajika ni kuwa brain zetu zinahitaji kuwa 100% clear. Na kipi kitakachokufanya uweze kusafisha brain yako kwa ujumla, hakuna kingine ni MEDITATION.

Unapo meditate huwa unaondoa dross ndani ya kichwa na kuifanya brain iwe safi pasina kuwa na thoughts za ajabu ajabu zisizo na maana, hapo ndipo utakapoweza ku-concentrate juu ya jambo ambalo wataka kulifanya coz mind yako itakuwa ni yenye power zaidi ya ilivyo mwanzo.
 
Ahh mshana umeanza tena, unajua ukweli ni kwamba watu watakuunga mkono na kupenda posts zako sababu ndicho kitu wanataka kusikia, its human nature kutaka kujiona kua yuko powerful that he is right now, lakini ukweli unabaki kua hatujafikia stage hiyo.. Hakuna cha telekinesis wala madudu mengine, hizo ni story bloggers wanaandika tu kuvuta watu kwenye blogs zao na wanapiga pesa coz ndicho kitu kinavutia wengi kusoma.
Kama kuna mwenye proof ya telekinesis aje anionyeshe live hata mshiko atakula mrefu sana.

Telekinesis is a hoax n so are many other superhuman strength BS, kitu ambacho naweza kukubali labda mtu akiongelea Lucid dreams, na hata Out of body experiences zile hua ni lucid dreams tu brain inamchezea mtu tricks naye anakaa kuamini ati roho ilitoka ikaacha mwili ikaenda sijui wapi ikarudi, just bs
 
kama umeona bandiko la mshana ni la uongo au ukweli upo sahihi IMANI ni kitu cha ajabu sana wengine wamediliki kusema IMANI
ni mzigo.
 
Last edited by a moderator:
mshana jr unajua nilitaka kusema tangu mwanzo kuwa hii mada uliyoweka hapa ni NZITO kuliko akili za baadhi ya walio wengi.

Na hata kwenye ku-develop telekinesis pia ni issue nzito kuliko wengi watakavyodhani coz wengi wataichukulia juu juu tu na pia si kitu cha kufanya mara moja au kwa muda mchache tu then mtu akapata matokeo hapana, japo pia itategemea na brain ya mtu husika.

Nasema hivyo kwa sababu si mchezo kama ulivyo mchezo wa kuruka sarakasi au kama lilivyo zoezi la kupunguza uzito ; kuwa siku zinavyoenda mtu anajiona akipungukiwa kilo kadhaa akiamini kweli hapa napungua coz alivyoanza na atapofikia atakuwa akijiona kuwa anapungua.

Lakini telekinesis ni zoezi tofauti na hayo niliyoyataja hapo juu mkuu. Ni mada moja iliyo ngumu kumeza hasa kwa walio wengi kiongozi hivyo hata kama italazimu kuwaelewesha au kufundisha watu inahitaji watu waliotofauti kabisa kifikra, kiakili na hata kiupeo pia mkuu.

NAWASILISHA.
 
Last edited by a moderator:
mshana jr unajua nilitaka kusema tangu mwanzo kuwa hii mada uliyoweka hapa ni NZITO kuliko akili za baadhi ya walio wengi.

Na hata kwenye ku-develop telekinesis pia ni issue nzito kuliko wengi watakavyodhani coz wengi wataichukulia juu juu tu na pia si kitu cha kufanya mara moja au kwa muda mchache tu then mtu akapata matokeo hapana, japo pia itategemea na brain ya mtu husika.

Nasema hivyo kwa sababu si mchezo kama ulivyo mchezo wa kuruka sarakasi au kama lilivyo zoezi la kupunguza uzito ; kuwa siku zinavyoenda mtu anajiona akipungukiwa kilo kadhaa akiamini kweli hapa napungua coz alivyoanza na atapofkia atakuwa akijiona kuwa anapungua.

Lakini telekinesis ni zoezi tofauti na hayo niliyoyataja hapo juu mkuu. Ni mada moja iliyo ngumu kumeza hasa kwa walio wengi kiongozi hivyo hata kama italazimu kuwaelewesha au kufundisha watu inahitaji watu waliotofauti kabisa kifikra, kiakili na hata kiupeo pia mkuu.

NAWASILISHA.
 
Last edited by a moderator:
Asante uncle mshana
Napenda kujua kama kuna njia nyingne ya kuongeza imani tofauti na meditation NDUKI naomba kujua

To believe in GOD ni moja kati ya vitu vitakavyofanya IMANI YAKO kukua zaidi na hapa sisemi kuwa wasioamini katika MUNGU hawana IMANI simaanishi hivyo mkuu, lakini pia.

To believe in yourself. Ni moja kati ya kitu kinachoweza kukufanya ukaongeza IMANI kwa asilimia kubwa kabisa. Wengi hawajiamini ndani ya nafsi zao kuwa kitu flani kinawezekana, na sio kwa kusema tu bali kwa kuamini na hapo ndipo unapoikuza IMANI YAKO.

Hivi unadhani ndani ya nafsi yako utakosa kuwa na mashaka/doubts hata kidogo ?, hiki ni moja kati ya vitu vinavyoharibu IMANI YAKO pia, DOUBTS.

Unaweza ukajiuliza kuwa ; hivi kweli naweza kufanya kitu flani ?, Je nikishindwa ?, Unachukua muda wako kujaribu ?, Unapojaribu na uka-fail unaipokeaje hali hiyo ?, ni kawaida au laa ?.

IMANI ; siku zote ni yenye kuyumba na wala haipo kama jiwe kwamba utakuwa na IMANI YA JUU muda wote ; kumbuka kuwa kila mtu ana IMANI lakini IMANI HUZIDIANA/HUTOFAUTIANA.

Kumbuka kuwa haukuzaliwa katika hii DUNIANI ukiwa na uhakika wa asilimia 100 kuwa kitu flani utaweza au kitu flani hautaweza kukifanya, vingi umevikuta na pengine ulikuwa ukiamini kuwa jambo flani sidhani kama ntaweza kulifanya lakini finally ukajikuta ukiweza kufanya jambo hilo, IMANI.

Pambana na sauti yako ya ndani kabisa inayokunong'oneza kuwa kuna baadhi ya mambo huwezi kuyafanya ; pambana na sauti hii kwa kiwango kikubwa mno. Sidhani kama kuna mtu anakosa sauti kama hii ndani yake inayomnong'oneza kushindwa kufanya au kushindwa hata kujaribu kufanya jambo fulani. Kuna kushindwa kufanya na kushindwa kujaribu kufanya, aliyeshindwa kujaribu kufanya ni tofauti kabisa na aliyeshindwa kufanywa kwa sababu aliyeshindwa kufanya hajashindwa kujatibu kufanya hivyo pambana na hii sauti ndani kabisa ya MOYO WAKO inayokunong'oneza kushindwa juu ya jambo fulani unalotaka kulifanya, belive that you can do it and you can.

Kwa sababu, utakapotia doubt tu, nafsi yako itaanza kuskiliza hiyo negative voice deep inside you kwa wakati huo. Utahisi kuwa ni sauti ya nani inayokunong'oneza...?, ni sauti ya mzazi wako ?, ya rafiki yako ?, ya mpenzi wako ?, ya mwanao ?, au ya rafiki zako wa zamani ?, kiukweli utaweza kuskia sauti nyingi tu ndani yako lakini unajua ni sauti za nani hizo ?. Japo ni sauti ambazo zinatoka ndani yako lakini KIUKWELI nataka ujue kitu kimoja kuwa ''SAUTI HIZO SIO ZAKO.'' So, what you have to do from that point...?. Tell yourself that ; "THIS IS NOT MY TRUE VOICE", then start to challenge it and ignore kwa nguvu zako zote sauti hiyo/hizo.

Kingine, geuza udhaifu wako uwe ni STRENGTH ; Mara nyingi tukiwa tuna-focus nafsi zetu kwenye mambo ambayo hayapo sawa juu yetu na kuacha ku-focus zaidi juu ya yale ambayo yapo sawa zaidi juu yetu na nafsi zetu, basi ni lazma tu tutapunguza IMANI juu yetu na hata kwenye mambo ambayo tutataka kuyafanya pia IMANI ITAPUNGUA. Tusi-assume tu kuwa hakuna kitu ambacho tunaweza tukaki-improve ndani ya nafsi zetu, tuamini kuwa hayo ni madhaifu na madhaifu yetu tunaweza tukayarekebisha. Na pia tuamini kuwa sisi hatuna madhaifu tu pekee, pia tuna STRENGTH ndani yetu ambazo zinaweza zikatufkisha sehem ambazo hata hatukutarajia kufika, KAMA TU TUKIAMINI KWA KINA.

Kingine ni kwamba, jipime na wengine ambao umewazidi kiuwezo wa aina yoyote ile, watazame kwa jicho la tatu kisha vaa viatu vyao na jiulize "HIVI NTAWEZA KUFKIA KAMA HUYU JAMAA KWELI" na pia jiulize ukiwa katika hali hiyo "JE, UKIFIKIA HALI KAMA YA HUYO JAMAA UTAFANYA NINI, UTARIDHIKA KUWA HAPO HAPO AU UTA-FIND OUT THE WAY TO DEVELOP YOURSELF MORE & MORE" , utapata jibu ambalo lipo in a NEGATIVE WAY, I HOPE.

Try to coach yoursel, jaribu kuwa kocja wa nafsi yako pale tu inapojitokeza hali yoyote ya kujiona kutaka kushindwa ndani ya nafsi yako, jivue nafsi yako na kisha jiweke pembeni na uanze kuifundisha nafsi yako juu ya wasiwasi uliouhisi na uanze kuifundisha ukiwa umefumba macho yako na kuhisi kuwa unaieleza na kuifundisha nafsi yako kwa nini iogope ?, kwa nini ishindwe kufanya ?, kwa nini isiweze kufanya jambo flani ?, ipe moyo kuwa ni kweli inapotokea hali flani nafsi huwa inapata wasiwasi kidogo lakini haipaswi kuogopa mpaka kufkia hali/hatua ya kujiona eti itashindwa/haitaweza kufanya jambo flani, talk to yourself, sio mara moja tu fanya hili zoezi kila unajihisi unatakiwa kufanya hivyo. Self-belief comes not just by trying to convince yourself you can do stuff. True self-belief actually comes from developing the vision that you can relax socially, start that business, write that book, or whatever it is you need to believe you can do or be.

Jenga tabia ya kukaa chini, fumba macho, talk to yourself everyday hii inasaidia kwa asilimia kabisa kujenga IMANI YAKO NA KUJIAMINI ZAID NA ZAID kwa sababu This powerful visualization exercise means you can learn from yourself how to be confident, have self-belief, and behave in ways which maximize chances of success. Imagine you are viewing yourself on a TV screen. The 'you' in the screen is showing the you watching how to act with self-belief. The more you do this, the more you'll find that you'll quite naturally start to become like the 'you' in the movie.

AU UNANIRUHUSU NIFANYE YOTE HAYO KWA NIABA YAKO...?.

And one thing you'll notice is ; As your self-belief grows, people around you start to believe in you more and more and more.

Ni mengi mno mkuu ila leo acha tu tuishie hapo kiongozi.

KARIBU SANA.
 
Last edited by a moderator:
Ahh mshana umeanza tena, unajua ukweli ni kwamba watu watakuunga mkono na kupenda posts zako sababu ndicho kitu wanataka kusikia, its human nature kutaka kujiona kua yuko powerful that he is right now, lakini ukweli unabaki kua hatujafikia stage hiyo.. Hakuna cha telekinesis wala madudu mengine, hizo ni story bloggers wanaandika tu kuvuta watu kwenye blogs zao na wanapiga pesa coz ndicho kitu kinavutia wengi kusoma.
Kama kuna mwenye proof ya telekinesis aje anionyeshe live hata mshiko atakula mrefu sana.

Telekinesis is a hoax n so are many other superhuman strength BS, kitu ambacho naweza kukubali labda mtu akiongelea Lucid dreams, na hata Out of body experiences zile hua ni lucid dreams tu brain inamchezea mtu tricks naye anakaa kuamini ati roho ilitoka ikaacha mwili ikaenda sijui wapi ikarudi, just bs

Ngoja nisibishane nawe kwakuwa hatufahamiani ila tafuta post yangu moja inayosoma 'zimebaki story' nisome pale upate maarifa
 
Back
Top Bottom