Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,217
- 79,717
Download vpn ya aina hii jina lake linaitwa 1111 ipo playstoreWee vin em nifundishe jinsi ya kufanya vpn ifanye kazi ktk Telegram
Download vpn ya aina hii jina lake linaitwa 1111 ipo playstoreWee vin em nifundishe jinsi ya kufanya vpn ifanye kazi ktk Telegram
Nsha download tayari,Download vpn ya aina hii jina lake linaitwa 1111 ipo playstore
Washa afu ingia telegram weka no yako uliyokuwa unatumia utatumiwa code au utapigiwa ili ujaze code itafungukaNsha download tayari,
Ahsantee sana, ngoja nijaribu.Washa afu ingia telegram weka no yako uliyokuwa unatumia utatumiwa code au utapigiwa ili ujaze code itafunguka
Mbona sioneshwi kwa kuweka no angu enyewe hapo tele,Washa afu ingia telegram weka no yako uliyokuwa unatumia utatumiwa code au utapigiwa ili ujaze code itafunguka
Inatumwaje? Em fafanua zaidi bas.Mbona iko vyema tu? Sema verification inatumwa kwenye email
Ukiingia tu Kuna sehemu unaweka no yako na email yako kisha utapata codeMbona sioneshwi kwa kuweka no angu enyewe hapo tele,
Em nifafanulie zaidi kwani.
Download VPN ya 1.1.1.1 kisha ingia telegram uweke namba yako watakwambia verification code imetumwa kwenye Gmail yako, utaenda kwenye email utachukua zile code utakuja kuweka itafungukaInatumwaje? Em fafanua zaidi bas.
Hebu screenshotMbona sioneshwi kwa kuweka no angu enyewe hapo tele,
Em nifafanulie zaidi kwani.
Mbona tayari hapo ishafungukaHii hapa, haya nielekeze sasa.View attachment 3389487
Kumbe ishafungukaa? Bas ahsantee.Mbona tayari hapo ishafunguka


Embu jaribu kumtumia meseji mtu kama inaenda ikipiga tiki ujue ni tayariKumbe ishafungukaa? Bas ahsantee.
Nikajua bado eti,![]()
Ukishaweka namba ikikwambia code zimetumwa rudi ufungue hili faili la mailbox kwenye simu yako utazikutaInatumwaje? Em fafanua zaidi bas.
Tumia Droid vpn!Nsha download tayari,
Mie hata kuambiwa niweke no siambiwi. Tabu tupu.Ukishaweka namba ikikwambia code zimetumwa rudi ufungue hili faili la mailbox kwenye simu yako utazikutaView attachment 3389544
Yess inapigaEmbu jaribu kumtumia meseji mtu kama inaenda ikipiga tiki ujue ni tayari

Piga screenshot weka hapaMie hata kuambiwa niweke no siambiwi. Tabu tupu.