Muuzaji Mkuu
JF-Expert Member
- Jun 18, 2022
- 882
- 1,968
Vincenzo Jr Samahani mkuu mbona mimi nimeconnect hiyo 1.1.1 Vpn lakini code haziji au kuna sehemu nakosea?
Asante! 👏Tumia 1.1.1.1 vpn ipo playstore
Karibu sana mkuuAsante! 👏
Unatumia aina Gani ya simu kakaVincenzo Jr Samahani mkuu mbona mimi nimeconnect hiyo 1.1.1 Vpn lakini code haziji au kuna sehemu nakosea?
Asante,nilizima na kuwasha simu nikajaribu tena ikakubali sahizi nabuludika huku.Unatumia aina Gani ya simu kaka
Karibu sana mkuuAsante,nilizima na kuwasha simu nikajaribu tena ikakubali sahizi nabuludika huku.
Download hapaWa ios tunafanyaje mkuu Vincenzo Jr
duh! kumbe inabagua simu me natumia oppo A 83 iitakubali kweli???Unatumia aina Gani ya simu kaka
Inakubali mkuuduh! kumbe inabagua simu me natumia oppo A 83 iitakubali kweli???
omba upigiwe wakutajue CODE hiyo ndio njia mbadala au wakutumie kwa EMAILDah hapo nafanyaje ili niweze kufanikisha mkuu nimejaribu vpn zote bila mafanikio
Mkuu nimefanikiwa asante nyingi kwakoInakubali mkuu
Karibu sana mkuuMkuu nimefanikiwa asante nyingi kwako
Kwa nini waliblock?Telegram imeblockiwa Tanzania kwa hiyo inawezekana mitandao ya simu inablock messages kutoka telegram.
Wanadai mnaangalia video za kikubwaKwa nini waliblock?
Hahaha dahWanadai mnaangalia video za kikubwa
Sio kweliTelegram imepigwa ban, hata uwashe VPN.
Wee vin em nifundishe jinsi ya kufanya vpn ifanye kazi ktk TelegramSio kweli