Teknolojia ya voice cloning ndiyo imetumika kutengeneza sauti za maigizo za Nape/Kinana

All in all waliopanga hii drama ni hamnazo! Wanaidhalilisha taasisi ya Rais kwa kufanya voice cloning na kuongea mambo yasiyofaa na ya uchonganishi. Huu sasa ndo uchochezi!! Hawa wanaopoteza muda kumzushia mwingine kwa nia ya kimchonganisha na Rais ndo wachochezi, achana na wale wa vyama vingine. Kama ni msiba, bashite, au huyo bashe basi ni wajinga sana wanafanya vunga, usanii ila yao ni tamaa ya madaraka iwavyo, maskini akili zao ndogo, wanamchoresha tu rais. Haya ni mambo ya kijinga kuwahi tokea na rais yuko kimya!! unadhalilishwa rais wetu, amka singizini!! Unawaamini hao Tapeli zako Shauri yako utavuliwa hadi ngozi ya mwili.
 
1. Uwongo unaanzia pale wanapo changanya picha halisi na sauti ili watushawishi kuwa ni sauti za Nape na Kinana.

Kama zingekuwa sauti zao wasingekuwa na haja ya kutuwekea picha kwa kuwa tungezitambua sisi wenyewe ambao ndiyo walengwa.

2. Kama ni kweli kulikuwa mazungumzo ya Kinana na Nape kabla ya kutoa Barua ya Makatibu Wakuu wastaafu, basi hiyo ingetoka kabla say Jumamosi au Jumapili kabla ya barua ya Makatibu Wakuu Wastaafu.

Kitendo cha kutoa Jumanne ambapo ni siku 2 baada ya barua inadhihirisha walikuwa maabara na wasanii wa kuigiza sauti ili kufanya walichofanya.

3. Kuna uwezekano sauti hizo zimefanyiwa voice cloning kama inavyoelezwa kwenye article hii; https://www.vice.com/amp/en_us/arti...e-anyones-voice-with-just-37-seconds-of-audio

4. Kinana na Nape wanajua kwamba kuna phone/call tracking kwa hiyo hawawezi kufanya mazungumzo ya kizembe namna hiyo

5. Tofauti ya tarehe ya waraka wa Makatibu Wakuu Wastaafu na tarehe ya voice clips ni siku 2 ambazo zina akisi muda ambao wahuni wa mtandao walikuwa wanachanganya picha na sauti kwenye maabara

6. Wahuni hawa wa Mtandao ni pembetatu ya Bashite, Musiba na Muro ambao wana baraka za vyombo vya dola. Wangekuwa siyo hao basi tungekuwa tumewasikia TCRA wakisema tumewakamata na tunawafikisha Mahakamani kwa Sheria ya Uhalifu wa Mtandao.

7. Yote haya ni ishara ya kupasuka kwa CCM vipande vipande
Usihadae watu. Teknolojia pekee iliyotumika ni BUGGING. Waulize watu wa kitengo watakwambia maana yake.
 
Mkuu umenena uzur has hiyo point namba 4.
1. Uwongo unaanzia pale wanapo changanya picha halisi na sauti ili watushawishi kuwa ni sauti za Nape na Kinana.
Kama zingekuwa sauti zao wasingekuwa na haja ya kutuwekea picha kwa kuwa tungezitambua sisi wenyewe ambao ndiyo walengwa.
2. Kama ni kweli kulikuwa mazungumzo ya Kinana na Nape kabla ya kutoa Barua ya Makatibu Wakuu wastaafu, basi hiyo ingetoka kabla say Jumamosi au Jumapili kabla ya barua ya Makatibu Wakuu Wastaafu.
Kitendo cha kutoa Jumanne ambapo ni siku 2 baada ya barua inadhihirisha walikuwa maabara na wasanii wa kuigiza sauti ili kufanya walichofanya.
3. Kuna uwezekano sauti hizo zimefanyiwa voice cloning kama inavyoelezwa kwenye article hii; https://www.vice.com/amp/en_us/arti...e-anyones-voice-with-just-37-seconds-of-audio
4. Kinana na Nape wanajua kwamba kuna phone/call tracking kwa hiyo hawawezi kufanya mazungumzo ya kizembe namna hiyo
5. Tofauti ya tarehe ya waraka wa Makatibu Wakuu Wastaafu na tarehe ya voice clips ni siku 2 ambazo zina akisi muda ambao wahuni wa mtandao walikuwa wanachanganya picha na sauti kwenye maabara
6. Wahuni hawa wa Mtandao ni pembetatu ya Bashite, Musiba na Muro ambao wana baraka za vyombo vya dola. Wangekuwa siyo hao basi tungekuwa tumewasikia TCRA wakisema tumewakamata na tunawafikisha Mahakamani kwa Sheria ya Uhalifu wa Mtandao.
7. Yote haya ni ishara ya kupasuka kwa CCM vipande vipande
 
Nani kaziwekea picha mnato na kwa madhmuni gani? Angeleta voice clip peke yake na kuacha hadhira aliyoilenga iseme kuwa huyu ni Nape na huyu ni Kinana!! Kielelezo chochote kinachoacha mashaka hakikubaliki kisheria kwa kuwa KIMEPIKWA au kwa lugha ya Malkia kimekuwa COMPROMISED

Hicho ndicho unabishia...
Jionee aibu
0 gt
 
Hiyo huwezi kuona kwamba ni Kama salamu kwa hao jamaa wakijulishwa kwamba wanachokifanya nyuma ya kapeti kinajulikana?hatuwezi tu kusema wazee waachwe wapumzike hata Kama kipindi wapo madarakani walitumia nafasi zao ndivyo sivyo!!!

Watu wachache sana nchi hii hawajatumia madaraka yao vibaya. Tukienda hivyo pengine hakuna mzee hata mmoja atakayepona! Hata walioko madarakani hawamalizi vipindi vyao kwa sababu kwa walio wengi matumizi mabaya ya ofisi yameshakithiri.
 
Hicho ndicho unabishia...
Jionee aibu
0 gt
Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, James Kilaba amesema mamlaka hiyo haina uwezo wa kudukua mawasiliano ya wateja wa mitandao ya simu za mkononi. Ametoka kauli hiyo leo akijibu swali kuhusu sauti zinazodaiwa ni za Mbunge @Nnauye_Nape na Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu, Abdulrahman Kinana. https://t.co/sSxJcAIRwB
 
So kwani ni ndio tu na mamlaka yao ndio wanaweza hayo!!!! Uoni aibu unasubiri watu kusema a au z ndio ujifanye mjuaji.?
 
Tena nawashauri wala wasijitokeze, kuhakikisha ukweli wa hii clip , ni jukumu wa CCM kitego cha maadili na wazee walioandikiwa.

Hao waliouweka wazi, mbona hakupeleka kwenye idara za chama na kuwashitaki kinana na nape, nao wamefanya mambo ya kitoto.
Tena wakae kimya kabisa na wasipeleke complain popote. Ili tuone sasa nani ata set investigation machinery in motion.
 
Nakupa Likes kama 1,000,000 kwa hoja hii, kama aliyenasa mazungumzo ya ukweli yenye kuleta mpasuko si ayapeleke kwenye vyombo husika!!. Kama kuna poyoyo yeyote wa Lumumba atakujibu naomba uni tag.
Tuko pamoja kiongozi
 
Daaah mtatudanganya sana, sema shida siku hizi tumesoma soma na sisi.

Kujibu point yako namba moja, nadhani lengo ni ilikuwa ikae katika video format wasambaze kwa urahisi zaidi IG na YT.
 
Endeleeni kupambana na hali zenu huko lumumba,sisi twafurahi tu kuona moshi!
Mnafurahi...tena hivi wapinzani mtakua lini kwakweli..This is Agenda Setting and Settled.. apa wapinzani mnapotezwa hivi na hamuwezi kuleta agenda bali mnangangai issue ambazo wanatengeneza wana CCM aaah nacheka sana mimi
 
1. Uwongo unaanzia pale wanapo changanya picha halisi na sauti ili watushawishi kuwa ni sauti za Nape na Kinana.

Kama zingekuwa sauti zao wasingekuwa na haja ya kutuwekea picha kwa kuwa tungezitambua sisi wenyewe ambao ndiyo walengwa.

2. Kama ni kweli kulikuwa mazungumzo ya Kinana na Nape kabla ya kutoa Barua ya Makatibu Wakuu wastaafu, basi hiyo ingetoka kabla say Jumamosi au Jumapili kabla ya barua ya Makatibu Wakuu Wastaafu.

Kitendo cha kutoa Jumanne ambapo ni siku 2 baada ya barua inadhihirisha walikuwa maabara na wasanii wa kuigiza sauti ili kufanya walichofanya.

3. Kuna uwezekano sauti hizo zimefanyiwa voice cloning kama inavyoelezwa kwenye article hii; https://www.vice.com/amp/en_us/arti...e-anyones-voice-with-just-37-seconds-of-audio

4. Kinana na Nape wanajua kwamba kuna phone/call tracking kwa hiyo hawawezi kufanya mazungumzo ya kizembe namna hiyo

5. Tofauti ya tarehe ya waraka wa Makatibu Wakuu Wastaafu na tarehe ya voice clips ni siku 2 ambazo zina akisi muda ambao wahuni wa mtandao walikuwa wanachanganya picha na sauti kwenye maabara

6. Wahuni hawa wa Mtandao ni pembetatu ya Bashite, Musiba na Muro ambao wana baraka za vyombo vya dola. Wangekuwa siyo hao basi tungekuwa tumewasikia TCRA wakisema tumewakamata na tunawafikisha Mahakamani kwa Sheria ya Uhalifu wa Mtandao.

7. Yote haya ni ishara ya kupasuka kwa CCM vipande vipande
Wewe mnafiki, CCM hatuna mpasuko kabisa, na ndiyo maana hata Mh. Nape kakiri na hilo lipo wazi. Ila Nape na Mwezi wa kwanza wamewaponza wazee
 
Back
Top Bottom