Shit! Shit, sasa wewe si ujaribu tu au? Unategemea jamaa akujibu nini hapo sasa? Au na wewe ni miongoni mwa wale madent wa UDOM walitolewa nduki na mkulu na kupewa lile jina linaloishia na herufi ya '.... ZA'?uki block
haziji kweli ?.
maana zingine ukiblock bado simu zinaleta notification
zina leta sms
sijasoma hata form one sikufikaShit! Shit, sasa wewe si ujaribu tu au? Unategemea jamaa akujibu nini hapo sasa? Au na wewe ni miongoni mwa wale madent wa UDOM walitolewa nduki na mkulu na kupewa lile jina linaloishia na herufi ya '.... ZA'?
ILI UPATE OPTION YA BLACKLISTS NENDA SECURITY SETTING AU CALL SETTING THEN INGIZA NAMBA YA UNAYOTAKA KUREJECT KWA KUWEKA TICK CALL INTERCEPTION AND SMS INTERCEPTION HAPO MTU AKIPIGA NA KUTUMA TEXT ZITAISHIA HEWANIHabari zenu wana JF
naomba kwa anaejua, anisaidie jinsi ya kublock incoming call & sms
kwa simu ya tekno C5 anielekeze..
nmetafuta hio option sijaona mpaka sasa hiviILI UPATE OPTION YA BLACKLISTS NENDA SECURITY SETTING AU CALL SETTING THEN INGIZA NAMBA YA UNAYOTAKA KUREJECT KWA KUWEKA TICK CALL INTERCEPTION AND SMS INTERCEPTION HAPO MTU AKIPIGA NA KUTUMA TEXT ZITAISHIA HEWANI
naomba kama kuna uwezekano wa ku screenshot hizo hatua unionyesheHizi app za kupakua ni hovyo kabisa.
Isave namba husika kisha unapoingia ktk phone book, fungua jina husika kisha bofya option (kitufe cha chini pembeni tofauti na cha kurudi nyuma "back") hapo utaona option husika.
Tofauti na hiyo download AVG antivirus ktk kipengele cha privacy kuna option ya kublock sms na call.
Hiyo ndiyo pekee nnayoiamini ktk app za kupakua.
Hizi app za kupakua ni hovyo kabisa.

MAELEKEZO NILIYOKUPA MIMI NI SAHIHI UTAKUTA 2 OPTION YAKUBLOCK SIMU NA YAMESEJI UTACHAGUA WW HAPO MBLOCK VIPENGELE VYOTE AU KIMOJA
naona pa kublock calls tu
Aisee kazi ipounatumia simu gani kwani?
waweza nionyesha kwa screen shot
sawaAisee kazi ipo
Let me google that for you
Kwani Ulimpa nani namba yako?ndio
nakosa hta aman