Teja limejisahau

Teja limejisahau

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Unga noma!

197173_10151493526593012_1288753433_n.jpg
 
Ndio maana ugonjwa wa UKIMWI hautokomezwi coz wakija watu wenye shida zao lazima wamfanye ndo mke wao.
Tanzania tutokomeze madawa ya kulevya kwanza ndo tutaweza kutokomeza UKIMWI.
NIMTAZAMO WANGU,
 
ukimla katika mazingira haya ujue njaa yako ina walakini wa MAPEPO
 
SAUDARI akili yako inawaza chini tu, komba maji we...
 
Last edited by a moderator:
stineriga,sio kwamba akili yangu inawaza chini ila huyo teja angekua anakaa mtaani kwetu haachwi lazima wamgonge ngozi.
 
mwacheni mwana hapo anajiona yuko Santiago Chile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom