Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Huyo teja aliokotwa na huyo jamaa akampenda akampiga mng'aoo
Nilikuwa nataka kutoa maelezo kama haya.Huyu mama alikuwa schoolmate wa huyu teja walipokuwa wadogo.
Alipokuja kumuona na hali ile akaamua kujitolea amsaidie. Labda waanze sasa lakini hawakuwa wapenzi, ni marafiki tu.
Hata hivyo huyo dada ana moyo sana...hongera kwake!Nilikuwa nataka kutoa maelezo kama haya.
Bora umeweka stori ilivyokuwa na wote ni wakenya
Uko sawa mkuu!!!Huyu mama alikuwa schoolmate wa huyu teja walipokuwa wadogo.
Alipokuja kumuona na hali ile akaamua kujitolea amsaidie. Labda waanze sasa lakini hawakuwa wapenzi, ni marafiki tu.
Hadithi yao inatufundisha nn