teh teh teh........... nani huyu?

Afu we Fixed Point hebu walete wakwe zangu huku niwafundishe jinsi ya kuuishi uanaume na bia. Wasije wakashindwa kuwafikisha kileleni mabinti zangu.
 
Last edited by a moderator:
Afu we Fixed Point hebu walete wakwe zangu huku niwafundishe jinsi ya kuuishi uanaume na bia. Wasije wakashindwa kuwafikisha kileleni mabinti zangu.
Mkwe Asprin unawasikia wakwe wa kingoni? kushindwa hiyo kazi ni ngumu sana............ ugimbi mpaka uishe na kazi hiyo ni 100%. kule kwetu hakuna mabango ya mganga wa kuongeza nguvu za ........., wapo kwenye mchakato wa kutafuta dawa za kupunguza, ha haaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom