Teh teh teh........Asnam kakua..............!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443
Eti leo na yeye anatimiza miaka.........
Happy birthday mjukuu wangu, Mwenye enzi Mungu akujaalie ukue kwa umri na kimo kama mimi babu yako.
 
mpe hongera sana lakini nyie vibabu wa siku hizi Mtambuzi mnamambo kweli. haya huyu wamwita nani? mke ama mzee mwenzio?
 
Last edited by a moderator:
asanteni sana nawakaribisha kwenye party yangu saa moja jioni pale city center kiingilio ni zawadi yako mkononi kama mjuavyo mkono mtupu haulambwi,karibu sana.:baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby::baby:
 
Kuna Mnuso? kama ndio, ni wapi ili nicheki na gfsonwin nije naye..

my swtlo twende zetu nyumbani lounge ama savanna lounge bana leo huwaga pananoga zaid. nahtaj sana kukaa na weye pale lemon tree just to have joy honey. Huko kwa Asnam najua yeye na babu yake Mtambuzi hawana dili bana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…