Hakina faida sasaKinabaki kikojoleo tuu
Kama anapotosha Unaonaje ukijimovezisha taaratibu kutoka katika huu uzi?MziziMkavu hebu njoo uelimishe huyu # mshana jr anapenda kujidai kuwa anaju sana mambo ya giza na kupotosha umma
Usingemjibu huyu kiazi na wale viazi wengine wanne ambao kwa pamoja hawajui hata sheria na kanuni za jukwaaKama anapotosha Unaonaje ukijimovezisha taaratibu kutoka katika huu uzi?
they are all silly creatures with crippled minds ... cowardly hiding themselves in fake multiple IDS...huwa nikiona replies zao na wanavyodiss kijuha nabaki na kichekoMkuu.@Mshana jr hapotoshi watu anajaribu watu kuwa amsha kuwa uchawi upo na ni hatari kwa jamii. Mahali palipo kuwa na uchawi panakuwa hapana maendeleo yoyote kimaisha. Tujihadhari na uchawi na tumuombe Mungu atulinde na wachawi.MziziMkavu hebu njoo uelimishe huyu @ mshana jr anapenda kujidai kuwa anaju sana mambo ya giza na kupotosha umma