jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 4,596
- 11,858
Yawezekana tecno ya sasa imeboreshwa kiasi kwamba inashindana na iphone😀😁😅😃😄😀😆😆😆😆😀😁😅😃Tecno Ambayo Inakotoka Haiwaikubali
Tecno hawa nikipewa kama zawadi sihitaji, infinix ndo walewale, Tecno iliyochangamka😀Hatimae transition holdings wamiliki wa tecno, infinix, oraimo na itel wameshika nafasi ya tano kidunia kwa uuzaji simu, pengine miaka mitao ijayo wakashika namba Moja.
Soma hapa Canalys: Global smartphone shipment down 10% in Q2, Transsion is now a top-five vendorView attachment 2702684
Ungemalizia uzi wako kibiashara,unauza simu za infinix na TecnoHatimae transition holdings wamiliki wa tecno, infinix, oraimo na itel wameshika nafasi ya tano kidunia kwa uuzaji simu, pengine miaka mitao ijayo wakashika namba Moja.
Soma hapa Canalys: Global smartphone shipment down 10% in Q2, Transsion is now a top-five vendorView attachment 2702684
Sina maslahi na tecno kakaUngemalizia uzi wako kibiashara,unauza simu za infinix na Tecno
Tecno ya zamani sio hii ya leoTecno hawa nikipewa kama zawadi sihitaji, infinix ndo walewale, Tecno iliyochangamka😀
Mbona oppo hujumuishwa na realme? Xiomi na poco?Iliyokua hapo sio Tecno. Ukisema utaje Tecno pekee basi usingeiona hata top 5 hapo. Transsion Holdings kiujumla inahusisha Tecno, itel na Infinix, sielewi kwa nini wamezijumuisha pamoja wakati kila moja inajitegemea kivyake na hata software zao ni tofauti. (Hiyo ni collection ya brand tatu kwa pamoja chini ya Transsion Holdings)
Tecno kama Tecno bado sana
Wangefanya hivyo kwa BBK nako ingekuwa fair, kwa sababu BBK nayo ina brands kubwa kama One Plus, Oppo, Vivo, Realme na iQOO kwa pamoja
Transsion imekua kwa kasi baada ya ku invest nchini India, na huu ni uthibitisho kuwa watu wengi wananunua midrange na low end kuliko flagships
Tecno kali kwa sasa ni Tecno Phantom X2 Pro, unaweza kusoma review yake gsmarenaYawezekana tecno ya sasa imeboreshwa kiasi kwamba inashindana na iphone
Ukweli ni kwamba ni affordable na zinatimiza hitaji ndo maana raia wanazishobokea mno, na spea uhakikaTecno kali kwa sasa ni Tecno Phantom X2 Pro, unaweza kusoma review yake gsmarena
Haiwezi kushindana hata na flagship za Realme, achilia mbali Apple
Watu wengi wananunua midrange na low end ndio maana Transsion anauza sana. Hizi Infinix Hot 11 zimejaa kila kona
Soko la highend linamilikiwa na samsung na apple mchina aliepenyaga huko ni huawei nae likamkuta jambo so kuna fitna nyingi sana kwenye soko la highend ndo maana hawahangaiki naloTecno kali kwa sasa ni Tecno Phantom X2 Pro, unaweza kusoma review yake gsmarena
Haiwezi kushindana hata na flagship za Realme, achilia mbali Apple
Watu wengi wananunua midrange na low end ndio maana Transsion anauza sana. Hizi Infinix Hot 11 zimejaa kila kona
Xiaomi, Redmi na Poco hazi operate independently kama ilivyo kwa Tecno, Infinix wala itel. Zote ni simu ambazo kampuni mama ni Xiaomi na zina share vitu vingi sana. Ni kama series tu zilizopewa majina specialMbona oppo hujumuishwa na realme? Xiomi na poco?
Hapa umetupiga mkuu, hakuna Tecno kali😀, ndo maana wanaita othersTecno kali kwa sasa ni Tecno Phantom X2 Pro, unaweza kusoma review yake gsmarena
Haiwezi kushindana hata na flagship za Realme, achilia mbali Apple
Watu wengi wananunua midrange na low end ndio maana Transsion anauza sana. Hizi Infinix Hot 11 zimejaa kila kona
Kwenye high end ni Apple ndio ameteka soko. Samsung labda kwa Android ndio yupo juuSoko la highend linamilikiwa na samsung na apple mchina aliepenyaga huko ni huawei nae likamkuta jambo so kuna fitna nyingi sana kwenye soko la highend ndo maana hawahangaiki nalo
Hii nakubali mkuu, iphone ataendelea kutawala soko hilo kwa miaka mingi zaidiKwenye high end ni Apple ndio ameteka soko. Samsung labda kwa Android ndio yupo juu
Ukiangalia Samsung nyingi zinazouza sana sio flagship, unaweza kukuta top ten simu zilizouzwa sana nane ni flagship za Apple halafu mbili ni low end au midrange za Samsung
Yeah ni affordable, kwa sababu wanatumia cheap software na updates ni more like miaka miwili tu.Ukweli ni kwamba ni affordable na zinatimiza hitaji ndo maana raia wanazishobokea mno, na spea uhakika