utakuja
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 1,062
- 995
Au sioNa si tecno pekee, hata samsung waliwahi iga iphone 6, ukiangalia design utajua iphone kiboko


wamecopy copy kosa lipo wapi?Au sioNa si tecno pekee, hata samsung waliwahi iga iphone 6, ukiangalia design utajua iphone kiboko


wamecopy copy kosa lipo wapi?Umenena mkuu kile kifaa next level...ZTE axon 7 ni habari nyingine!!
Sema unatakiwa kutembea na charger mda woteHata waje vp, hiyo brand situmii. Mimi na samsung. Nikitoka hapa naenda level nyingine.
Zinawaka moto sasa na ukionekana miji ya watu unapigwa stoooopHata waje vp, hiyo brand situmii. Mimi na samsung. Nikitoka hapa naenda level nyingine.
Subiri moto tena weka mbali na watotoTecno siyo simu,mimi na Samsung tu.
labda laki tatuHv iko sokoni kwa shilingi ngapi
Ukumbuke Samsung zinalipuka zenyewe ziki chajiwaHata waje vp, hiyo brand situmii. Mimi na samsung. Nikitoka hapa naenda level nyingine.
Dah hata utani haufananii....nimetumia iphone htc na sumsung lakini nilipoingia tecno hakika sijajutia
mkuu akina xiaomi au oneplus tunazipata vip bongoDuh Tecno ya million 1.. Yenye camera sensor sawa na iliyopo kwenye Xiaomi mi4c kwa Ile ndogo na ile kubwa ina sensor sawa na ya xperia z3+ *kwa mujibu wa sources nilizopitia *(kwa kifupi haiwezi shindana na camera yoyote kwenye simu high end ya mwaka huu au hata mwaka Jana) na processor yenye core 10 zisizo na faida ..Tecno punguzeni bangi kama mtu una akili timamu bora ukanunue One plus 3 au ZTE axon 7.
Au kama unapenda simu zenye ui za kichina, na ma core mengi , pamoja na dual camera chukua hata Huawei honor 8 kwa bei rahisi zaidi.
i phone walimuiga htc....zile antenna kwa nyumaNa si tecno pekee, hata samsung waliwahi iga iphone 6, ukiangalia design utajua iphone kiboko
Hamna! betri huwa zinachoka. Ikichoka unanunua nyingine. Ila Tecno hapana aisee. Bora niende huawei. Tecno ukienda bar kila muhudumu anayekuja kukuhudumia anayo.Sema unatakiwa kutembea na charger mda wote
na i phone 7 inafanana na meizu.....sasa sijui shida nn nnAu sio View attachment 407864 HTC one m7 imetoka February 2013 iPhone 6 imetoka September 2014...wamecopy copy kosa lipo wapi?
Utabidi uagize tu kama una weza au unaweza mtafuta huyu mshikaji naona anazitangaza sema sijui kama ni reliable maana One plus 3 anaiuza bei ghali sana hata kuliko Galaxy s7 High Life Tanzania | Facebookmkuu akina xiaomi au oneplus tunazipata vip bongo
anaye miliki cm ya tecno utamjua tu. Debe kwa kwenda mbele. Kuungua au kuwaka moto hiyo ni ajali tu. Kwani wewe ulifikiri unachaji kwa kutimia maji?Ukumbuke Samsung zinalipuka zenyewe ziki chajiwa