Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,028
- 52,505
shukrani sh ngapi mkuu
shukrani sh ngapi mkuu
Inaweza kuwa specifications za juu kwa number tu.Sijui ambao wanakariri majina. Hizo ni specifications za juu kuliko simu nyingi zenye majina
Mi natumia tablet yao yani inakaa na charge hadi nakasirika aiseeKwa simu zinazokaa Na chaji muda mrefu tecno Wapo juu.. Mimi natumia tecno boom j 8...Ctamani simu nyingine
Hawa huwa wako safi sana kwenye ubora wa camera zao afu tangu makampuni yatoe simu wao ndio waliotoa simu nyemba zaid dunianiInaweza kuwa specifications za juu kwa number tu.
21 megapixel(tecno) = 8 megapixel (Samsung).
Hahaaaaa yaan katk hao ww haumoYani brand yao sijawahi hata kufikiria kuitumia.
Acha waendelee kutoa tu,walengwa watazitafuta.
Aise nina L8plus kwa charge sidhani kama inamshindani mpaka 120hrs ndio unatafuta charger ilipo, sihitaji kusikia hivyo vimeo vingine.Kwa simu zinazokaa Na chaji muda mrefu tecno Wapo juu.. Mimi natumia tecno boom j 8...Ctamani simu nyingine
Sana tu kiongozi wanaangalia majina na made in badala ya specification & qualitySijui ambao wanakariri majina. Hizo ni specifications za juu kuliko simu nyingi zenye majina
ZTE axon 7 ni habari nyingine!!Duh Tecno ya million 1.. Yenye camera sensor sawa na iliyopo kwenye Xiaomi mi4c kwa Ile ndogo na ile kubwa ina sensor sawa na ya xperia z3+ *kwa mujibu wa sources nilizopitia *(kwa kifupi haiwezi shindana na camera yoyote kwenye simu high end ya mwaka huu au hata mwaka Jana) na processor yenye core 10 zisizo na faida ..Tecno punguzeni bangi kama mtu una akili timamu bora ukanunue One plus 3 au ZTE axon 7.
Au kama unapenda simu zenye ui za kichina, na ma core mengi , pamoja na dual camera chukua hata Huawei honor 8 kwa bei rahisi zaidi.
Watashindana lakini hawatashinda (Iphone)daima ipo juu.
Mimi hilo tu jina la Tecno lina ni put off, simu zake hata ziwe nzuri vipi mimi hapana
Kwel mkuu tatzo n neno technoHata waje vp, hiyo brand situmii. Mimi na samsung. Nikitoka hapa naenda level nyingine.
Kweli iphone kiboka tecno bado wameiga kastyle flani
we sema tu huna hela ,mtu mwenye akili zake atoke kwenye iphone na samsung alafu uhamie tecno?.utakuwa mwehu,hizo simu huko china yenyewe zinapotengenezwa huwezi kuzikuta dukani wala haziuzwi kabisa huko,tecno soko lao ni africa tunimetumia iphone htc na sumsung lakini nilipoingia tecno hakika sijajutia
Kila mtu ana kigezo cha uzuri, kama cjaona kigezo cha kuiita ni nzuri ntaisifia je?Acheni wivu kizuri kisifiwe