Tecno User Vs Samsung and iphone user

Mtoa mada ni wachina wangapi umewaona wanatumia tecno!?trust me 75% ya wachina wanatumia iPhone kumaanisha hawaziamini simu zao
 

Mkuu nahs km unaiona ninavyoenjoy na 6s plus yngu
 
Mtoa mada ni wachina wangapi umewaona wanatumia tecno!?trust me 75% ya wachina wanatumia iPhone kumaanisha hawaziamini simu zao
Kwani watanzania wangapi umewaona wanatumia nyama ya mbwa kama kitoweo? trust me 99%ya watanzania wanatumia nyama ya ng'ombe kama kitoweo kumaanisha hawaiamini nyama ya mbwa lakini Wachina je mkuu?
 
Mimi ninetumia sana Sumsung tatizo chaji, unakuwa unatembea na power bank utazani kama Hajar anavyotoka na mkoba, Tecno ya kwanza kutumia ilikuwa Camon 6+ nashukuru ilikuwa inakaa na chaji siku nzima na natumia mtandao hadi porini inashika kuliko hata waliokuwa na Iphone, kwasasa natumia Camon 8 iko vizuri. Ila nataka nirudi kwenye Samsung au nichukue IPhone ingawa kwa kazi nazofanya kudongosha simu kitu cha kawaida hapo nawaza hasara pia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…