Tecno User Vs Samsung and iphone user

Nategemea kukuona tena hapa pindi camera yako ikianza kugoma kufanya kazi.

Wamiliki wa tecno wote hamuendi mbinguni.
 
pole Sana mtani, tatzo Tesino ni kama za wajereman maana ile ni Dona kantre.. karbu kwenye dunia ya Nokia tangu 2009 napeta nayo mpk sasa.... Soon ntahamia Xioami, Oppo na Iphone
Ahsante Mtani. Kwani hiyo Xioami nayo ni simu eeee maana mtani wako Mshamba aisee. πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ

Nimeona General Mangi kaandika nikabaki nimeduwaa kumbe ni aina ya simu. Duuh.
 
Uliibiwa mm natumia LG Q6
 
Sawa mkuu fanya kautafiti kako ulete mrejesho hapa ipi ni chaji sarver kati ya Tecno na hizo simu zingine
Uuwiii unanipa kazi ngumu aiseee.

Nyie fanyeni utafiti tu ila mwisho wa siku mjuage namna ya kutushawishi ili tuamini huo utafiti wenu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nategemea kukuona tena hapa pindi camera yako ikianza kugoma kufanya kazi.

Wamiliki wa tecno wote hamuendi mbinguni.
Mkuu hayo mapicha picha nilishayaelezea mbona kwangu ni changamoto ya kawaida kuliko changamoto ya chaji.
 
Wewe ndio mtu wa kwanza kusifia tecno phones, maana hizi simu naona watu wengi watumiaji wanalalamika tu lakini wanazitumia, binafsi sijui chochote kuhusu tecno kwani hata kuzishika tu sijawaji
 
Wewe ndio mtu wa kwanza kusifia tecno phones, maana hizi simu naona watu wengi watumiaji wanalalamika tu lakini wanazitumia, binafsi sijui chochote kuhusu tecno kwani hata kuzishika tu sijawaji
Jiulize tu mkuu wanalalamika lakini bado wakienda shop wanazinunua hizo hizo .

Tecno zina mapicha picha kweli sometime lakini ni kati ya simu nzuri zimetengenezwa kutokana na mazingira na gharama za mtumiaji.
 
Kweli jamaaa ni kwa ajili ya mtumiajii
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…