Kwenye simu tunajua nini kipo ndaniHiki tu ndicho mlichonacho prestige basi ila sote tunafunga miguu pale tukiitwa wamiliki wa simu janja. Tusidharauliane. Simu ni kama tumbo aliyekula makande na sausage wote ni sawa ukiwaona hutojua nini kimo tumboni.
Haha hahaaaa!. Na msg za michepuko. Waafrika tuna shida kubwa sana.Wakija watakwambia ni i cloud na security ya kutosha na wakati hakuna chochote cha maana anachoficha zaidi ya picha za ngono alizozijaza humoo.
Nasikia hao wamarekani na wachina hawatumii ugali piaWamarekani hawawezi kutumia vitu vya kijinga kama Tecno!kama wachina wenyewe wameshindwa kutumia huo ujinga huna hata akili ya kujiongeza!!
Sijakuelewa Mjumbe.Kwenye simu tunajua nini kipo ndani
Asante sasa tuko pamoja kula like. Hata Mimi sishindwi kununua I phone katu ikiwa na mambo niyaonayo ni ya msingi na ya msaada. Ila katu sinunui simu kwa jina lake big noo. Hiyo pesa bora nile. Techno zinamuonekano mzuri, camera safi, mziki mzuri, google kama kwa, I phone INA nini cha ziada?.
Tecno for lifeUsinunue iphone bila kuwa na matumiz yake ya msng,yaan usinunue kwa sababu tu unataka kujitofautisha na watumia tekno,aisee utapata taabu sana...nlkuwa na rafk yangu kioind Niko first year sasa alkuwa anatumua iohone 5 sasa shida ikaja kwenye kuinsralk apps za masomo mfano kuna apo inaitwa "teach me anatomy " kwa waliosoma anatomy wanaijua,aisee kwa cc watumia tekno tunapakua Bure tu kutoka play store ila yy aliambiwa hawez kuipakua kutoka appstore had alipe tz10000 ,ilibid alike tu hakuwa na namna,baadae aliiuza kwa bei ta hasara,saiv anatumia infinix tu...karud android...iphone sio za kukurupukia
KweliTecno baada ya miez 6 inastack
Haina shida kabisa. Ukitoka Us lazima unukie ki US. Kama vipi waweza nidhamini nani niuonje utamu wa I phone.sawa mkuu ila siku ukipata shavu LA kwenda mbele chukua iphone..tekno weka kando ..ukirud huku kwetu,iPhone weka kando chukua tekno maisha yasonge
Umesema simu kama tumbo aliyekula makande na aliyekula sausage wote hawajulikani wamekula nini. BTW ukiwa na tecno tunajua ndani kuna nini.Sijakuelewa Mjumbe.
😂😂😂 kama kweli vileee.
Dadeki nikija hapo kwa mangi na tecno yangu mbona mtanikoma nachart 24 hours
Hahahaa...n kwa vile tuko huku kusiko na faida ya kuwa na security kwenye simu ...nchi zlzoendelea security is very essential kwa sababu nying sana maana simu inakuwa connected na inshu nyng za kibiashara na kibenku so ulinz wa simu n muhimu ...ila kwa sisi ambako hakuna hackers tekno is our priorityWakija watakwambia ni i cloud na security ya kutosha na wakati hakuna chochote cha maana anachoficha zaidi ya picha za ngono alizozijaza humoo.
Haina shida kabisa. Ukitoka Us lazima unukie ki US. Kama vipi waweza nidhamini nani niuonje utamu wa I phone.
Kuna nini Mjumbe?. Hivi nikikutumia ujumbe au hapa unajua natumia aina gani ya simu?.Umesema simu kama tumbo aliyekula makande na aliyekula sausage wote hawajulikani wamekula nini. BTW ukiwa na tecno tunajua ndani kuna nini.
Umesema simu kama tumbo aliyekula makande na aliyekula sausage wote hawajulikani wamekula nini. BTW ukiwa na tecno tunajua ndani kuna nini.
Kwani ukimuona maskini huwezi kujua kwamba ndani kuna nini ?Umesema simu kama tumbo aliyekula makande na aliyekula sausage wote hawajulikani wamekula nini. BTW ukiwa na tecno tunajua ndani kuna nini.