Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,055
- 2,911
Ujue matumiz yako ya simu yanatofautina na ya MTU mwingne..chukulia MTU labda m mwanafunz wa udaktar,hyu anaweza install apps mbalimbali zhusuzo shule yake mfano madawa,dictionary, apps za magonjwa n.k....ndio hapo tekno inakuwa taabu tupu...smartphone is mor for chatting onlySasa uinstall many app za nini? Simu unaijaza ma apps kibao ambayo hayana faida alafu unashangaa kuzidiwa kwake ata hizo i phone ukizijaza zaidi ya uwezo wake lazima istaki .
Inastack laptpot(Pc) sembuse simu mkuu tatizo mnapenda kuzioverspace hizo simu tofauti na matumizi yake ndio maana mnaziona magumashi ila tecno iz the best.
Siyo umaskini mkuu tatizo wabongo wengi wako type ya kina mayweather akipata kamilioni kake nae anajiita milionea .Wew sema tu n umaskin ndio tatzo...taabu za tekno hazivumilik kama MTU una mkwanja uliotulia
Hawatakuelewa mkuu mentality yao ni kwamba kutumia i phone ndio utajiri.Una enjoy unadownload baga humo ndani kisha unakula?. Una nini cha ziada zaidi ya kuingia jf, fb, instra, na mengine mengi ambayo hata mwenye techno anafanya?. Sipati picha kwa gharama ya hiyo simu unavyotembea ukiangalia nyuma labda utakabwa au.
Nakumbuka nilinunua simu mpya ya gharama ya 3k aisee nilikuwa sijiamini njiani nikisikia mtu anapita nyuma nageuka fasta ilikuwa mateso ila nilivyozoea ikawa shwali tu.
Huku n kujifarj tu yaan n sawa na kusema kuishi tandale na mbez mbichi n sawa et kisa mnasiku sawa ya Massa 24Hiki tu ndicho mlichonacho prestige basi ila sote tunafunga miguu pale tukiitwa wamiliki wa simu janja. Tusidharauliane. Simu ni kama tumbo aliyekula makande na sausage wote ni sawa ukiwaona hutojua nini kimo tumboni.
Sasa hizo apps zenye mb 8 au 10 zitaifanya simu istack .Ujue matumiz yako ya simu yanatofautina na ya MTU mwingne..chukulia MTU labda m mwanafunz wa udaktar,hyu anaweza install apps mbalimbali zhusuzo shule yake mfano madawa,dictionary, apps za magonjwa n.k....ndio hapo tekno inakuwa taabu tupu...smartphone is mor for chatting only
Yaan unachoongea sikatai ,n keel wapo wabongo hununua simu kubwa kwa sifa ila wengne n kwa sababu simu kubwa zinawafanya waweze kuaccess vtu vingi kwa urahs...tekno kiukweli tunatumia watu wenye pesa za mawazo sanaSiyo umaskini mkuu tatizo wabongo wengi wako type ya kina mayweather akipata kamilioni kake nae anajiita milionea .
Billgate na utajili wake wote bado ana anatumia simu ya batani na siyo kwamba hana uwezo wa kununua i phone.
Mental health and rehabilitation, na nliinstall notes na apps zote za muhimu kwenye masomoUjue matumiz yako ya simu yanatofautina na ya MTU mwingne..chukulia MTU labda m mwanafunz wa udaktar,hyu anaweza install apps mbalimbali zhusuzo shule yake mfano madawa,dictionary, apps za magonjwa n.k....ndio hapo tekno inakuwa taabu tupu...smartphone is mor for chatting only
Labda unaongelea tekno toleo za mwanzoni kabisa sio hz zlizofurika kariakoo....mkuu mm nmemilik tekno ila shda nazopata nataman niibwage tu chini....simu ikichoka inasearch mambo ambayo hujataka,inaandika zle mesej zszosomeka hasa ukiiweka mfukon ukasahau kuilock,inajizma na kujiwasha hasa ukiwasha data ...kuipenda tekno kwataka moyo...nachoona tu cha muhimu n kutunza chaji bhc...ila flexibility in accessing services hapana kabisa labda iwe mpyaSasa hizo apps zenye mb 8 au 10 zitaifanya simu istack .
Nimesoma chuo Course ya pharmacy na katecno kangu tena kalikuwa Tecno H6 nimedownload hivyo vyote unavyosema, na nots zote zilikuwa kwenye simu na haikuwahi kunisumbua ata kidogo .
Nenda shop kavute Tecno Camon alafu test huo mtambo uone unavyofanya kazi .Labda unaongelea tekno toleo za mwanzoni kabisa sio hz zlizofurika kariakoo....mkuu mm nmemilik tekno ila shda nazopata nataman niibwage tu chini....simu ikichoka inasearch mambo ambayo hujataka,inaandika zle mesej zszosomeka hasa ukiiweka mfukon ukasahau kuilock,inajizma na kujiwasha hasa ukiwasha data ...kuipenda tekno kwataka moyo...nachoona tu cha muhimu n kutunza chaji bhc...ila flexibility in accessing services hapana kabisa labda iwe mpya
Wa mbezi anamzidi nini wa Tandale tuanzie hapo. Huu wote ni ubatiri tu na kujilisha upepo. Tena huyo wa mbezi anakula ma junk food mwishowe ni saratani na visukali hawajui utamu wa msusa na matembele. No socialization wanaishi ka wako gerezani. Wakisia paa wanaita polisi fasta hata ikiwa tu tairi la gari limepata pancha. Ila uswaz tukisikia paa tunajua party imeanza.Huku n kujifarj tu yaan n sawa na kusema kuishi tandale na mbez mbichi n sawa et kisa mnasiku sawa ya Massa 24
... Kujifarj tu ila kiukweli tekno tunatumia maskin...kumbuka za bei chee zna walaji wengi
Sawa mkuu ila mm imani na tekno ishapungua kabisa ....natumia tu bhcNenda shop kavute Tecno Camon alafu test huo mtambo uone unavyofanya kazi .
Wamewaweza kwa kuwawekea storage kubwa ili yasi stack tu. Ila simu ni simu tu.Techno hapana. Siwezi kuisifia. Touch screen ya Tecno unaweza ipiga ngumi kwa hasira. Samsung yes inaisha chaji lakini ni simu nzuri.
Duuuh....bhc nishajua naelekezana na mbishi wa asili...kama unaweza sema tandale na mbez mbichi maisha n sawa au maisha ya watanzania n sawa na ya wamarekani ktk ubora yaan quality bhc wew utakuwa na ubishi asilia...Wa mbezi anamzidi nini wa Tandale tuanzie hapo. Huu wote ni ubatiri tu na kujilisha upepo. Tena huyo wa mbezi anakula ma junk food mwishowe ni saratani na visukali hawajui utamu wa msusa na matembele. No socialization wanaishi ka wako gerezani. Wakisia paa wanaita polisi fasta hata ikiwa tu tairi la gari limepata pancha. Ila uswaz tukisikia paa tunajua party imeanza.
Hamna cha zaidi ya prestige ya brand name mkiwa mbele za watu full kujionesha kuwa una simu ya gharama ila nikichungulia uko jf au wattsup au unatuma SMS au unapokea call yaani kutembea na mtaji mkononi.
Mnazidi kuwashushua hao wapondaji wa Tecno mtu unataka kumiliki i phone wakati ata kiwanja huna.
Mkuu we katest huo mtambo usitumie tecno za promosheni lazima zikusumbue Tecno Camon ni nouma,kuna Spark(K7) kuna sasa spark 2 zote ni nouma fingerprint security.Sawa mkuu ila mm imani na tekno ishapungua kabisa ....natumia tu bhc
Haha hahaaaa. 64 GB angalia mambo ualiyomo ndani sasa. Miziki miiingi. Mapicha meeengi mengine hayana maana. Apps sasa nyingi sana na bado nafasi inadai kioo kinabust, betri linakufa, mtoto analitupa kwenye jagi la maji yaani vurugu tupu. Kwa 2 million tena za mkopo. Haha hahaaaa.Wanafurahia 64Gb kwa milioni 2,wao hawajashituka tu kwamba wameuziwa space kwa hiyo hela ila kazi yake ni sawa na simu zingine tu.
Kumiliki iPhone na kiwanja huna au hata usafir huna hii inanishangaza sana,yaan MTU anatoa laki nane had million kununua iphone half anapanda daladala,hii haikai fresh....ila all in all n kwamba tunatumia tekno kwa sababu tuna pesa za mawazo sana,unawaza ukinunua simu ya million half ikaibiwa itakuwaje!!? Hapa tatzo sio kuibiwa Bali n umaskin wKo..tukomae na tekno tu hakuna namna maana jiweland is so tight