Tecno Spark K7 na Tecno Spark Plus K9

Tecno Spark K7 na Tecno Spark Plus K9

42_007, kwa hiyo K7 ni bora kuliko K9? Anyway kwa faida ya wengine kama mimi, tuambie 'pafomansi' yake kwenye internet n.k
 
Divika, nasikia Samsung siku hizi zinalipuka... wenye simu za Samsung ni kama wanatembea na mabomu mifukoni halafu hawa jamaa wanatuona sisi mazuzu; unakuta ka simu ka Samsung kana uwezo mdogo. Lakini bei yake unaambiwa laki 2 na nusu.
 
Yani kama ni simu mazee niulizen mm ,,nunueni simu unique af za ukweli
641486ae6e3044bd7568abd8f1e39f5a.jpg

Hiyo ni doogee mix ni simu ya mwaka huu chekini specs zake gsm arena ni laki tatu tu,,nikipata hela nitaagiza hiyo nzuri sana
Selfie camera yake ipo chini ili screen iwe full haina boundaries
Sio boundaries, huwa wanaziita bezzels..ni design mpya ya simu. Wote wanakuja na bezzeless design wakiwamo samsung, iphone na Lg sony ndio hajabadilika
 
-1GB ram
-haina 4g
-mchina
-bei laki 2 na zaidi

bora tu ujilipue na xiaomi redmi 4A
Tatizo wafanyabiasha wanapandisha hizi simu za kawaida bei,nilikutana na Oppo f3 inauzwa laki sita hapa Arusha yote sababu inauwezo kama kina galaxy s6 basi nao wanazipandisha bei,hiyo ndio challenge kubwa kaka Acha tu labda mtu uagize
 
Phantom 6 plus sijawahi jutia hadi Leo 64gb ram 4gb unataka nn sasa kulambwa au
Hahaha bro wee mkali kulambwa tena
Kiukweli tecno wako vizuri lkn ni kasumba tu ya wanadamu kutokupenda kitu aina moja.
Leo hii Tecno ni co sponsor wa Man city ya England cha ajabu mbogo wa Tandale anaiponda, ajabu!
 
Tatizo wafanyabiasha wanapandisha hizi simu za kawaida bei,nilikutana na Oppo f3 inauzwa laki sita hapa Arusha yote sababu inauwezo kama kina galaxy s6 basi nao wanazipandisha bei,hiyo ndio challenge kubwa kaka Acha tu labda mtu uagize
true, na bei ikishakuwa sawa na brand kubwa na specs zikifanana kunakuwa hakuna tena haja ya kununua mchina.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom