Tecno spark k7 na k9 balaa lingine kutoka tecno

Tecno spark k7 na k9 balaa lingine kutoka tecno

tatizo la tecno ram GB 1 INAFANYA SIMU ipate moto sana na hatimaye kustack, notification huwa haziji kwenye black screen

Motorola wamekuja na simu ya bei rahisi kuliko hata hiyo spak 7 inaitwa MOTO C ikiwa na nougat ram GB 2 4g internet chip set siyo hizo za mediatek INA uzwa 200k tu
vipi betri yake ni mAh ngapi na camera ni megapix ngapi???
 
Techno spark k7 phone is just another fake gadget.A phone with a RAM of 1gb ni balaa tupu!
 
VP kuhusu itel p51 kwa wale walioitumia inaweza kushindana na hii tecno k7 nataka nichukue moja wapo
 
Back
Top Bottom