Tecno spark k7 na k9 balaa lingine kutoka tecno

Tecno spark k7 na k9 balaa lingine kutoka tecno

kwa wale superuser tecno haziwafai.utaifaid ikiwa mpya tu.baada ya mwez utaelewea namanisha nn
 
Wakuu juzi Kati nimeingia town nikachukua guy mzigo
1bf6ec61bdf07f316d49976f2011081b.jpg


Nice techno spark k7 , nawaona tecno Sasa wamejirekebisha cuz mzigo upo vizuri kuanzia kiioo, camera vyote vipo clear

Wamejiongeza na kuweka finger sensor ambayo utasajili vidole vyako kwa ajili ya security

Na bei ina unafuu

Huko kwenye betri ndio wameuwa mzigoo unatunza chaji hatare
Kuiwekea Vizuizi (passcode) kwa njia ya Scan (finger print) je, hii itazuia Simu yako kufanya kazi baada ya kuibiwa...!!?

Namaanisha hakuna jinsi yoyote, kuweza kui-flash Simu na kutumika kwa mtu mwingine...!?
 
Tecno hata watoe Gari siwezi kuwaamini, Ngoma Infinix Note 3 Pro ichukue uone Tofauti.
'za fanana transit goods'

ila upande wa betri hawa jamaa ni hatari. inawahi kujaa inachelewa kuisha chaji kioo kipana safi sana.
 
Techno spark no sh 220,000
 
Co sponsor wa man city wale shauri yako mpaka ulaya thenmzee wa tandale unavunga mjuaji.

Ni kweli mkuu, mimi natumia Tecno Cammon CX Air, ni best phone kwa matumizi ya kawaida ukilinganisha na bei, lakini haiondoi ukweli kwamba Tecno specs zao siyo reliable, ndo maana GSM Arena hataki kuwajadili.
 
Back
Top Bottom