Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,128
- 2,914
Bora nyani mjanja kidogo ila ngedere ni sawa na kima
Japo mjanja lakini nyani nae hajatofautiana sana na tumbiri
Bora nyani mjanja kidogo ila ngedere ni sawa na kima
Wewee ushajaribu L9+Cx is better more than k7 ila mm natumia K7 sio mbaya kwa maisha haya yetu
Nilikuwa na hizo akili, ila maisha yamebana kiasi cha kwamba naangalia bajeti ikoje.Kama ni Tecno bora nikae bila smartphone
Hawashushi bei wanatengeneza na za bei sawa tecno.Tecno ni mkombozi kwa kizazi hiki. Tukumbuke watu wa hali ya chini wana farijika na Tecno kuanzia zile za Batani hadi kupangusa. Bila ushindani huu sidhani kama Makampuni makubwa wanhelikua wana shusha bei sim zao. Tacno mkombozi Africa na Tanzania kiujumla.
ni kweli kwa kiasi kikubwa.Binafsi huwa nashangaa mtu anapodiss smart phone za tecno. Wanachofanya tecno ni kukupa simu itakayoendana na budget yako katika kuinunua , na binafsi me naona wanafanya kazi nzuri saaana.
Unajua kwa nini TECNO wanauza simu kwa bei nafuu saana ? , ni kwasababu ina :
•CHIP SET ya MTK, ambapo speed yake iko slow ukifananisha na chip set za simu kubwa kama snap dragon ya samsung.
•MATERIAL NAFUU inayounda body ya simu yenyewe na mara nyingi ni PLASTIC kwa body na lcd diplay kwa kioo unacho touch.
•UWEZO WA CAMERA mdogo ,mara nyingi megapixel sio sababu ila ubora wa sensor zilizowekwa kwenye Camera.
•UJAZO WA INTERNAL MEMORY ambapo tecno nyingi ni 16 gb.
• na kitu muhimu kabisa ni hawakupi UPGRADE SUPPORT , yaani kuhama android version moja kwenda nyingine ambapo kupitia hizi upgrade wanaweza kurekebisha makosa yaliyopo kwenye software.
hii ndio sababu zinauzwa bei ya chini , kwasababu wangekupa vyote hivyo hapo juu katika ubora wa juu wangekucharge pesa nyingi saaana, mfano mzuri ni kwenye zile tecno phantoms na cx air .
Kwa mantiki hiyo siyo kwamba simu za tecno na wengine wengi wasiokua na majina makubwa hazina ubora , bali wamekupa ubora ambao unaweza afford kuununua.
Swala la glitches au matatizo kwenye software hata simu zenye brand kubwa wanayo ,mfano kanunue LG V10 au 20 utakuja simulia hapa after 18 months of usage.
"THE MORE YOU PAY THE MORE YOU GET THE BEST" sisi wa hali ya chini acheni tuenjoy tecno zetu.
binafsi sijawahi tumia phantom ila sidhani kama tecno huwa anatoa android version upgrade..ila ukiitazama phantom either ile 6 au hii 8 ya sasa inapata uthamani iliyonayo kwasababu zifuatazo:ni kweli kwa kiasi kikubwa.
ila naomba kuuliza kwani phantom zao unaweza kuupgrade OS zao?kwanini ziuzwe ghali kiasi hicho sasa?
kumbe phantom 8 ina fast charge? anyways umeongea kweli tupu japo naona kama still kwa line yao ya phantom ziko overpriced kidogo sababu kwa hiyo bei ya 600k/700k/800k nadhani unaweza kupata simu ya kampuni nyingine yenye specs hizo na ikawa ina support software upgrades(i stand to be corrected)binafsi sijawahi tumia phantom ila sidhani kama tecno huwa anatoa android version upgrade..ila ukiitazama phantom either ile 6 au hii 8 ya sasa inapata uthamani iliyonayo kwasababu zifuatazo:
CAMERA yake ina sensor zenye ubora tofauti na hizi tecno nyingine, na led flash ziko mbili pia .(kumbuka megapixels kubwa sio ubora wa camera ila sensor zilizowekwa kwenye camera, mfano tecno phantom 6 ina 13megapixel 13 na tecno w5 lite ina 13 megapixel ila ubora wa picha hautofanana sababu sensor zilizopo kwenye camera ya phantom 6 zina ubora wa juu zaidi)
UBORA WA MATERIAL ILIYOUNDA BODY phantom 6 na 8 uko juu ukilinganisha na tecno za laki 1 au 2...hizi za bei chee zaidi zina body ya plastics ila hizi za phantom zina body yenye alloy ya alluminium.
32gb na 64gb internal storage , ujazo huu nimeuona kwenye phantom pekee n am not so sure kama unaweza pata kwenye cmu nyingine za tecno.
DISPLAY YA CORN GORILLA ile glass unayotouch sio hizi cheap lcd displays ni touch utakayoikuta kwenye simu nyingine ambazo ni brand kubwa.
3gb ram ... hata kama ni mtk chip set, ram kubwa husaidia kuongeza speed ya functioning ya simu husika hasa kwenye situation ya multitasking .
kwa sifa hizi tu inatosha kwa Tecno phantom kuuzwa bei ghali ukiachana na nyingine nyingi mfano 4g , fast charging kwa kutumia usb type c, battery capacity n.k ambazo ni sifa za hii phantom.
Hilo ndilo naloliona lina logic mkuu.
Itel p 51,vipi?Mimi on meridhika na itel s 11 INA ubora wa hali ya juu
Bei yake nafuu mno
Huko ni kula umbwa kwa kukosa pesa ya kununulia mbuzi mkuuHhhh mkuu mbona povuuuu
moto c mbona ina chip set ya mediatek kama tecno mkuu ?...pili battery yake ni 2350 mAh....ukilinganisha na spark yenye 3000 mAh.....tatu camera ni 5 mgpxls japo cjajua ubora wa pic zake kuonesha sensor zake ziko vp....ukiitazama moto c vizuri utajua hata wao moto wanajua cmu yenye kukidhi budget ya 200k .tatizo la tecno ram GB 1 INAFANYA SIMU ipate moto sana na hatimaye kustack, notification huwa haziji kwenye black screen
Motorola wamekuja na simu ya bei rahisi kuliko hata hiyo spak 7 inaitwa MOTO C ikiwa na nougat ram GB 2 4g internet chip set siyo hizo za mediatek INA uzwa 200k tu
endelee na ulimwengu wenu uo# mimi nlikua na samsung note 3 nkabadili niko iphone 6 najipiga nipate iphone 8+ au x...techn n simu ambazo sitakuja tumia..maisha yangu yote...sijui nazionaje
tECNO cAMERA ZAke zinafifia siku hadi siku, kwa betri na wasifu ila hata moto c betri yake ni mzuri unaambiwa unaweza angalia movie ikiwa imebaki bar moja pia imeizidi ram yake ni GB 2moto c mbona ina chip set ya mediatek kama tecno mkuu ?...pili battery yake ni 2350 mAh....ukilinganisha na spark yenye 3000 mAh.....tatu camera ni 5 mgpxls japo cjajua ubora wa pic zake kuonesha sensor zake ziko vp....ukiitazama moto c vizuri utajua hata wao moto wanajua cmu yenye kukidhi budget ya 200k .
moto c unafuu wake ni android version upgrade support , hilo tuu ndio nimetofautisha na tecno spark.
( ready to be corrected)
Hakuna tofauti Kati ya infinix na tecnoTecno hata watoe Gari siwezi kuwaamini, Ngoma Infinix Note 3 Pro ichukue uone Tofauti.
Huwezi kuwakuta huko na wala hawaruhusiwi kujadiliwa kwenye huo mtandaoSiwapati GSM ARENA hawa Tecno sijui ni kwanini?