TECNO Q1

TECNO Q1

jafarikyaka

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2014
Posts
378
Reaction score
269
Habari wakuu
Nimatumaini Yangu Mnaumwa (sio wote) Mungu awafanyie wepesi in shaa ALLAH
Turejee kwenye Mada
Mwaka 2013 Ndiyo Mwaka niloanza kutumia Simu na Simu Yangu ya Kwanza NI TECNO-Q1 hii ilikuwa NI hatari ilikuwa na qwerty keypad matata hapo nikawa na mahaba YA dhati na Simu hizi pendwa za TECNO
na website YA Kwanza kufungua kupitia Simu hii pendwa NI phone**tica hakika hapo niliwaelewa hawa jamaa Mpaka leo hii na komaa nao na wananipa raha Mpaka basi.
Natoa ushauri wa bure TECNO NI Simu BORA TUZITUMIE kama mimi hapa navocheza na camon.
download%20(5).jpeg
 
View attachment 955824

Techno Q1 ilikuwa ni ya kitambo sana. na sidhani kama wameshatoa tena simu janja yenye physical Qwerty. , mwenzake na Q1 alikuwa D1
1543990604941.png
 
Back
Top Bottom