Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,225
- 44,217
Hapa tuuu naomba maelezo kidogo mkuu.
hebu bwana mangungo nikufanyie brief specs za hizi simu s4 clone na tecno phantom+
1. kioo
zote zina vioo inch5 vyenye resolution ya 1280x720. hapa zimetoka draw
2. battery
phantom battery ni 2100mah na s4 clone ni 2600mah. hapa s4 clone yupo juu
3. internal memory
s4 clone ina 16gb na phantom ina 4gb (2gb unapata). hapa tena s4 ipo juu
4. ram
s4clone ina ram 2gb phantom ina ram 1gb. hapa s4 clone ipo juu.
5. processor
s4 clone ni meadiatek quadcore wakati phantom ni mediatek dualcore hapa tena ni ushindi kwa s4 clone
6. camera
s4 clone camera 12/13mp na ya mbele 2mp wakati tecno ni 8mp na ya mbele ni 1.2mp hapa ni ushindi kwa s4 tena.
7. 3g network
phantom inakamata kwenye 2100mhz tu wakati s4 clone ni 850 na 2100mhz. ushindi kwa s4 clone tena
8. bei za simu
tecno inapatikana kwa laki 4 na nusu wakati s4 clone ni laki 3. hapa s4 clone yupo juu tena.
9. status mtaani
ukiwa na s4 clone unaonekana kama una hela watu wanadhani unamiliki s4 wakati ukiwa na tecno hadi wazee kwenye vibanda vya kahawa wanajua unamiliki simu ya kichina (japo zote mbili ni mchina)
bwana mangungo una la kusema?
Vipi kuhusu uwezo wa camera yake je huchukua picha nzuri kama za Samsung S3Phantom A+ ndiyo nayoitumia mimi.aisee INA speed nzuri ya Internet hasa ukiwa na Sim card ya voda na ina mbwembwe zote screen hata kwenye mwanga Jua Kali unasoma msg au kucheki kitu bila kuzibaziba kusaka kivuli.ina mambo mengi sana.nimeangusha hii simu mara 2 kwenye sakafu kwa bahati mbaua lakini haijaharibika.kifupi husibabaike na jina la simu tecno juu sana.
mi mwenyewe mwanafunzi mambo haya ila nitajieleza kadri ninavyoelewa.
mitandao ya simu kama vodacom wanaporusha network yao wanatumia band mbali mbali. ili simu ipate hio network inabidi isuport hizo band.
kwa tanzania mitandao yetu inasuport karibia band zote kasoro 1700mhz sijaiona. hapa ina maana simu inaposuport band nyingi ndio inavyokua nzuri kwenye kukamata mtandao.
case kama hii unakuta mpo eneo fulani wote mnatumia mtandao mmoja lakini simu moja ina network na nyengine haina ina maana ile yenye network itakua ina band nyingi zaidi kuliko ile ambayo haina.
case nyengine ni hizi simu za t-mobile kama ushawah kutana nazo huwa hazishiki 3g hapa tanzania sababu t-mobile 3g yao wanatumia 1700mhz ambayo mitandao yetu haina.
hii band ya 2100 inakubali mitandao yote hapa tanzania lakini simu ikiwa na extra band ni vizuri sababu huwez jua utaenda wapi au kitu gani kitatokea kwenye mtandao.
mfano wa simu ambayo ipo strong kwenye kudaka network ni iphone 5 ambayo ina band karibia zote duniani.
2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 - GSM A1428
CDMA 800 / 1900 / 2100 - CDMA A1429
3G Network HSDPA 850 / 900 / 1700 / 1900 / 2100 -
GSM A1428
CDMA2000 1xEV-DO - CDMA A1429
4G Network LTE 700 MHz Class 17 / 1700 / 2100 - GSM
A1428
LTE 850 / 1800 / 2100 - GSM A1429
LTE 700 / 850 / 1800 / 1900 / 2100 - CDMA
A1429
hapa inamaana ukiwa na simu hii unadunda popote duniani
Useme huwezi kuzifananisha kwa bei lakini kwa function ziko droo. Nina uhakika na ninachokisema mwenye kupinga sponge kwa hoja kwa kuorodhesha function ambazo s4 inazo thidi ya phantom A+
hebu bwana mangungo nikufanyie brief specs za hizi simu s4 clone na tecno phantom+
1. kioo
zote zina vioo inch5 vyenye resolution ya 1280x720. hapa zimetoka draw
2. battery
phantom battery ni 2100mah na s4 clone ni 2600mah. hapa s4 clone yupo juu
3. internal memory
s4 clone ina 16gb na phantom ina 4gb (2gb unapata). hapa tena s4 ipo juu
4. ram
s4clone ina ram 2gb phantom ina ram 1gb. hapa s4 clone ipo juu.
5. processor
s4 clone ni meadiatek quadcore wakati phantom ni mediatek dualcore hapa tena ni ushindi kwa s4 clone
6. camera
s4 clone camera 12/13mp na ya mbele 2mp wakati tecno ni 8mp na ya mbele ni 1.2mp hapa ni ushindi kwa s4 tena.
7. 3g network
phantom inakamata kwenye 2100mhz tu wakati s4 clone ni 850 na 2100mhz. ushindi kwa s4 clone tena
8. bei za simu
tecno inapatikana kwa laki 4 na nusu wakati s4 clone ni laki 3. hapa s4 clone yupo juu tena.
9. status mtaani
ukiwa na s4 clone unaonekana kama una hela watu wanadhani unamiliki s4 wakati ukiwa na tecno hadi wazee kwenye vibanda vya kahawa wanajua unamiliki simu ya kichina (japo zote mbili ni mchina)
bwana mangungo una la kusema?
Anayeibeza Tecno a+, Hakka hajawahi itumia bali ameiona turn au sikia! Toka nimenunua Hii a+ ni miezi mitatu sasa, sijawahi tena nunua gazeti, fungua laptop yangu kwa ajili ya internet na hata angalia TV labda kwa lesha tu. Jamani naangalia Emmanuel TV live tola Nigeria putia hii sm, nachangia mijadala humu jf kupitia hii cm. Napiga mziki wowote naopenda kwa yutubu kipitia hii cm. I edit document kwa exel word na power point kupitia hii cim. Sasa wanaoiponda nawataka waeleze kiunagaubaga japo kwa ufupi mapungufu ya hii cm. Tuache ushabiki Tecno ni kiboko wa yote s one to four
kama unaitaka s4 clone kwa laki 3 nione kuna jamaa anaziuza hapa wala usiwe na wasi sijapotosha na kama itaongezeka ni hio elfu 50.Bei bado umepotosha mkwawa hiyo bei ya mtumba chief,hemu njoo mikoani na laki 3 yako ununue hiyo s4 clone au 190 upate pocket.alafu simu ilipambanishwa na F7 ni galaxy s3 ambayo inapishana kidogo sana na Tecno F7 wewe umeleta s4 clone.alafu kwenye namba 9 hata Samsung,iPhone n.k zote hizi made in China mkuu sana sana ni ulimbukeni tu kwa mtu hasiyejua bei na aina ya simu ndiye atababaika huko huko kwenye vibanda vya kahawa.chief addicted wa matapeli wa Samsung mkubwa.
kaka ukijua process ya utengenezaji smartphone utaelewa vizuri haya mambo.
tuchkulie mfano nokia ana kiwanda china anatengeneza simu kaagizia material yafuatayo
1. material A
2. material B
3. material C
4. material D
hayo material ni ya display, mother board na vifaa vyengine vya simu.
material A nokia akatumia asilimia 80 tu ile asilimia 20 ika expire, material B yakawa chini ya kiwango nokia akayakataa, material C yaliachwa sababu material bora yamegundulika ambayo ni mazuri zaidi, material D yata expire soon nokia akaamua ayauze kwa bei rahisi
situation hizo hapo juu zinafanya manufacture uchwara wapate material kwa bei rahisi na hivyo kutengeneza simu ambazo zipo chini ya kiwango.
simu kama tecno itel sijui celkon wao hawatengenezi bali kuna kampuni zinatengeneza wao wanabandika majina tu ntawapa na ushahidi badae kidogo.
so kama simu imetengenezwa china inabidi atleast ufatilie nan kaitengeneza viwanda vya nokia, samsung, foxcon vyote vinaaminika ni tofauti na wengine
update ushahidi wa hizi simu za kichina
hapa natoa simu kama tano hivi muangalie mwenyewe
techno phantom a1
bedove hy
zopo zp
star x
umi s1
sifa za simu zote 5
1.zina camera inayoonekana umbo la duara kwa nyuma na flash kwa pembeni angalia vizuri umbo la camera kwa nyuma zinafanana zote.
2. spika ipo kwa chini
3. zote zina kioo inch 5
4.zote resolution ya kioo ni 720p
5. zote zina camera 8mp
6. zote zina ram 1gb
7. zote zinatumia processor ya mediatek mt6589 quadcore
8.zote internal memory ni 4gb
9. zote jelybean 4.2
10.zote ukizigeuza kwa pembeni utaona camera ina kama katuta (camera hump)
je mnafikiri ni coincidence kutokea hizi simu zinafanana kila kitu?
why hizi simu haziuzwi ulaya na marekani?
naamini we ni mtu mzima na una akili ya kufikiria
kaka umetaja feature za android sio za tecno. umesema unasoma online nakupa homework.
soma hardware ni nini
software nini
halafu utajua kua software inayotumika kwenye tecno ni ya google inaitwa android. simu yoyote ya android inafanya unayosema halafu linakuja suala la hardware hapa ndo tecno inapohusika refer kuhusu kauli za paul kuhusu specification
Tunapoongelea ubora wa sim si ni pamoja na Os yake? Kama sumsung wanatumia android na Tecno wanatumia android pia! Sasa uzaifu was Tecno uko wapi kaka
Nb software na hardware najua sana kuzitofautisha kwa ufupi ni fani yangu. Ndio maana nawacheka wanao ibeza tecno
Tunapoongelea ubora wa sim si ni pamoja na Os yake? Kama sumsung wanatumia android na Tecno wanatumia android pia! Sasa uzaifu was Tecno uko wapi kaka
Nb software na hardware najua sana kuzitofautisha kwa ufupi ni fani yangu. Ndio maana nawacheka wanao ibeza tecno
Nimelisemea hili kila mara kinacho wachanganya watu ni Android
Ubora wa simu hautokani na OS yake tu, kuna mataka taka kibao ya kichina ya Android, full kichefu chefu
Napata wasiwasi kama unajua vyema kutofautisha software na hardware kwa mujibu wa maelezo yako
Unapozungumzia ubora wa simu au pc unazungumzia specification za device husika na si OS yake
ndio sasa kama software zinafanana tunakuja sasa hardware.
je kioo cha phantom ubora wake ni kama simu kama s3?
je camera yake ni nzuri kama za hao kina s3?
je dual core yake ya mediatek inauweza mziki wa exynos quadcore?
je hio gpu inaweza handle high games kama modern combat 4 zero hour na asphalt 8 kama samsung inavyohandle?
je simu inakubali custom recovery na kueka custom rom incase rom ya simu imezingua?
je simu yako ina security kama ya knox unayoweza ringia kuwa data zangu zipo safe?
je simu yangu imekuja na android 4.2 itapata update ya 4.3 na kitkat 4.4 kama samsung? au nikitaka kitkat nitatakiwa ninunue simu mpya?
haya ni maswali machache unayoweza kuyafkiria