Scofied
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,456
- 1,685
Wakuu heshima kwenu,nina tumia hiyo simu kwa mda sasa..but imeanza tatizo lankustack stack....nikiweka lock na kutoa inafanya kazi kama sekunde 10 hivi then ina stack tena..nimeifanyia factory reset but tatizo lipo pale pale...na kuna saa inakuwa poa kama dakika kumi hivi then inastack tenaa....ushauri please!

