Tecno p3 msaada kwenye Youtube

Tecno p3 msaada kwenye Youtube

Kuchasoni Kuchawangu

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
623
Reaction score
378
Habari wakuu, naombeni msaada wa setting za kuangalia video Youtube kwenye simu ya Tecno p3. Nilifungua inachukua muda mrefu kufunguka, na ikifunguka unaangalia kidogo tu inaanza kuload tena. Msaada tafadhali.
 
Huo ni mtandao mkuuu upo chini mtandao ukiwa na nguvu inaonyesha fresh tuuuu cha msingi tumia Application ya you tube yenyewe
 
Habari wakuu, naombeni msaada wa setting za kuangalia video Youtube kwenye simu ya Tecno p3. Nilifungua inachukua muda mrefu kufunguka, na ikifunguka unaangalia kidogo tu inaanza kuload tena. Msaada tafadhali.

kama upo dar es salaam sim card ya vodacom ina faa kwa internet, inaspidi kubwa ila si mara zote ikifuatiwa na airtel! kwa iyo chek mtandao unaotumia!
 
Kama upo eneo la mtandao hafifu inakuwa hivo.
 
pia chukua tube mate ni nzuri sana
 
Natumia mtandao wa airtel, lakini hata voda inakuwa vilevile

Mkuu kuna siku mbili tatu zilizopita net ilikuwa inasumbua mitandao ya voda na airtel maeneo ya kinondoni ila kwa sasa iko poa, hata alama ya H na vimshale vyeupe huipati ukifungua mtandao?
 
Back
Top Bottom