Tecno n3

Tecno n3

SangaweJr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
2,990
Reaction score
2,669
Msaada tafadhali mwenye ufahamu kuhusu hili anisaidie.
Nafungua WhatsApp kwenye tecno n3 inaleta ujumbe huu Adjust your date. ilihali saa,tarehe na GMT Vipo sahihi. natakiwa kufanya nini iliniwezekuitumia?
 
Jaribu kuweka kama miezi sita nyuma kisha ikifunguka rudisha tarehe na mwezi sahihi.
 
sawa mkuu ngoja nijaribu now. dah jasho linanitoka kweli kweli.
 
bado majanga still napambana na huu ujumbe your phone date is inaccurate Adjust your clock and try again halafu kwa chini kuna Adjust date
 
wakuu msaada jaman mwenye ujuz hapo...
 
wakuu msaada jaman mwenye ujuz hapo...

Hizi techno ni janga kwakweli...sishawishiki kununua misimu ya techno hata kidogo...ukute hapo, hilo tatizo haliingiliani na hiyo date bt kwakuwa haijakidhi vigezo basi inaleta pop-up ya namna hiyo...
 
sawa mkuu kwa mtazamo wako
 
Pia unaweza kujaribu kusajiri kwa laini nyingine.
 
Msaada tafadhali mwenye ufahamu kuhusu hili anisaidie.
Nafungua whattsapp kwenye tecno n3 inaleta ujumbe huu Adjust your date. ilihali saa,tarehe na GMT Vipo sahihi. natakiwa kufanya nini iliniwezekuitumia whattsapp.

Hiyo simu nimeitumia nikahamia Tecno P3 sidhani kama ina hilo tatizo labda ujaribu kwenye setting - date and time - automatic time set na line ya vodacom ndio inakubali hiyo sina uzoefu na laini nyingine. ila kama unaseti manually sidhani kama utakuwa unapatia muda sahihi.
 
Futa hiyo whatsup kisha download tena upya haitokusumbua tena itakubali fasta, hata mm ilinisumbua hivyohivyo kwenye nokia dawa ni kuifuta na kudownload upya ova
 
Ifute then ingia kwenye play store then nenda kwenye top free itafute hiyo wat's up install upya!Hata ukitaka viber,instagram n.k vpo vng sn kwenye play store then google play itafunguka finally top free install chochote unachotaka or top new free!
 
mchina ndio alivyo yupo vice versa.

Co kweli,mchna anauza vtu kutokana na uwezo wako haya simu ya 10,000/ anakupa na ukitaka ya 300,000/ anakupa pia so uckariri!Natumia hiyo n3 na haina shida kwa lolote,nimeshampa maujanja nn afanye hili aendelee na hiyo whatsapp hata akitaka viber,skype,instagram vyote nimemwambia pa kuvipata
 
Hv wakuu bei gan hyo tecno n3 NAje inauwezo mzur kwnye net na aplicatn ngap inasuport
 
sawa mkuu kwa mtazamo wako

HILO SIYO TATIZO LA TECNO, SOFTWARE IMEIKATAA whatsupp. AJARIBU KU-DOWNLOAD TENA, ITAKUBALI. Acha kukatisha watu tamaa. Wote tunajifunza kwa kujaribu na kufanikiwa kwetu ni kupata positive response na siyo ukandiaji usiokuwa na data.
 
wakuu mimi sikutaka kubishana nae coz nikijuwa ninashida. ila kiukweli cm haina tatizo lolote. nikutofahamu tu coz awalu nilikuwa natumia sim za java.
 
HILO SIYO TATIZO LA TECNO, SOFTWARE IMEIKATAA whatsupp. AJARIBU KU-DOWNLOAD TENA, ITAKUBALI. Acha kukatisha watu tamaa. Wote tunajifunza kwa kujaribu na kufanikiwa kwetu ni kupata positive response na siyo ukandiaji usiokuwa na data.

msamehe tu mkuu. and thank kwa mchango wako kaka.
 
Back
Top Bottom