Tecno n3 imenizingua leo

Tecno n3 imenizingua leo

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,120
Reaction score
5,119
Pamoja na kuisifia sana leo imenizingua.
Jana usiku niliitumia kama midem ( WI-FI) lakini leo asubuhi inagoma na inawekea betri nyekundu na asilimia 0.Nimejaribu kuchaji na kuwasha lakini bado haikubali,
Msaada wadau
 
kama vp reboot hiyo phone
 
Back
Top Bottom