Mkuu mimi binafsi nafikiri ni brand tu.Nothing more nothing less.Binafsi sio brand conscious so huwa hata siwazagi kivile.Hesabu yangu huwa ni simpe:Requirements zangu-specification zangu= Price ambayo nitalipia ikiwa -ve I will pay less na ikiwa + I will pay moreTecno ni vifaa vya mawasiliano unavyotumia ukiwa huna hela .ukipata pesa unanunua simu kama samsung ,nokia na iphone..
Watu wanaoitetea tecno kwamba wanaipenda wakipewa samsung na tecno ni nani atachagua tecno??
Watu tuseme ukweli tu kwamba ukiwa umeyumba kidogo unaymtumia tecno hilo halina ubishi lakini mtu akisema ana mapenzi na tecno aende akatubu tu
Mkuu mimi binafsi nafikiri ni brand tu.Nothing more nothing less.Binafsi sio brand conscious so huwa hata siwazagi kivile.Hesabu yangu huwa ni simpe:Requirements zangu-specification zangu= Price ambayo nitalipia ikiwa -ve I will pay less na ikiwa + I will pay more
Bwana we, bora niwe na nokia ya battan kuliko kumiliki tecno!!! Nikikosa SAMSUNG basi OPPO
Ukisema ubora mdogo unazingatia kigezo kipi?Simu nzuri sio jina aisee jamaa, ni ubora wake, ubora wa tecno ni mdogo sana kwa sumsung , huawei, nokia, nk
Ukisema ubora mdogo unazingatia kigezo kipi?
Umeshawahi zitumia? Ipi na ipi?Simu nzuri sio jina aisee jamaa, ni ubora wake, ubora wa tecno ni mdogo sana kwa sumsung , huawei, nokia, nk
Mkuu mimi binafsi nafikiri ni brand tu.Nothing more nothing less.Binafsi sio brand conscious so huwa hata siwazagi kivile.Hesabu yangu huwa ni simpe:Requirements zangu-specification zangu= Price ambayo nitalipia ikiwa -ve I will pay less na ikiwa + I will pay more
Asante kwa maelezo ya kutosha kabisa. Binafsi hizo mambo za nm zilikua zimenipitia kushoto. (nimejifunza kitu kipya)
Nilichokua nasema mimi ni kuwa kwa mtumiaji wa kawaida , wa bei ya chini suala la nm kwake sio kitu. Na hata ukimtajia ataona ni mbwembwe tu. Cha msingi simu inaperform task anazotaka ndio anachoangalia.
Ila hayadumu [emoji3][emoji3][emoji3]Hivi bei ya bus la scania ni ghali sana?
Maana naona mabasi ya kichina ndio mengi na tunasafiria na tunafika safari salama.
Hivi bei ya bus la scania ni ghali sana?
Maana naona mabasi ya kichina ndio mengi na tunasafiria na tunafika safari salama.
Ila hayadumu [emoji3][emoji3][emoji3]
Angalia marcopolo za abood bado zipo vile vile miaka zaid ya 10, angalia BM yutong hata haijuilkan saiz ipo wapi [emoji3]
Hayo ni mahaba kama yalivyo mahaba ya mtumiaji wa tecno tu.Sijawahi kutamani kutumia tecno,nipo samsung tangu enzi za R220
Mkuu hujajua tu ! Jaribu kutumia high end phone utaona utofauti mkubwa , achana na camera achana na charge achana na processors , hivyo vyote achana navyo ila kuna vitu huwa havielezeki mfano uki scroll kwenye iphone na uka scroll kwenye tecno ni vitu viwili tofauti , yan ile response na smoothness ni tofauti kabisa . High end phones una click kwenye app mara moja , ila watu wa tecno kurudi nyuma naonaga wanabonyeza bonyeza ile back button mara kibao . Sasa tumia iphone one ni click moja tu na hamna issue za ku stack stack na kusubirishana. Fungua camera angalia inachukua mda gani ku focus kwenye subject ndo utajua nini maana ya ubora . Hata vitu mnavyoviita vya kawaida mfano wakati wa ku type ile speed ya response ni kitu muhimu sana na ni cha kila siku Ndo maana mtu akitumia high end kurudi chini lazima apate shida. Whatsap ya iphone siyo sawa na whatsap ya tecno na huu ndo ukweli ingawa zote zinatuma Picha na sms . Nimeona tecno wameweka animoji isee ni vituko !
Au simple zaidi labda endesha Swift na endesha Nissan Murano labda , kwenye swift unatumia nguvu nyingi, brake haziko on time yan ukitoka dar Moro uko hoi ila gari nzuri mzee huchoki.. huo ni mfano wa experience tunaoumaanisha
Swala la kusema tecno ni sub standard Kwa sababu haziko gsm arena tulikuwa sahihi 100% , sisi kaka watumiaji wa simu hatuwezi kumsikiliza tecno tu ndo atwambie ubora wa bidhaa zake , tunahitaji third party wa kudhibitisha huo ubora ili tumlinganishe na wengine tuone.
Pale unapokuta model ya simu dukani then ukaitafuta mtandaoni na usipate details za kutosha jua kwamba kuna tatizo ( kiufupi Mteja lazima ajue ananunua nini , ni muhimu sana) kama hujui unanunua nini unaanzia wapi ku negotiate? Yan una negotiate kitu ambacho hukijui? Mtu anakwambia camera Kali tu basi , serious? Unaona neno kamera kali linatosha kumwambia mteja anayejielewa?
GSM arena pale simu inapimwa na kulinganishwa kuangalia kama yaliyomo yamo.
Angalia hapo chini kwenye picha nimeweka 3D Touch ya iPhone ambavyo inaweza nisaidia natumia keyboard kama mouse pad , yan hiyo na move cursor popote Kwa kidole gumba in case nataka ku edit , space , highlight sehem yoyote wakati naandika n.k. Sasa vitu kama hivi kwenye tecno hamna lakini mkiambiwa mnakimbilia oooh hata sisi tunatuma whatsap , sijui fb tunaingia. Issue ni experience gani unaipata kwenye matumizi ya simu yako
View attachment 967011
Sawa mkuu,
Ila hiyo ndio maana halisi ya simu ya mtumiaji wa hali ya chini.
Hizo PPI kwa mwafrica wa kawaida hajui hata ndio utumbo gani. Hizo mambo za nm mtu wa kawaida hajui ndio vitu gani. So long simu ipo inafanya kazi vizuri , features za muhimu zipo basi vingine ni nyongeza tu. Sijui NFC, Gorilla Glass, Apple Pay, Samsung Pay etc. Sijui hata wewe kama ulishawahi kutumia kwa maisha ya kibongo[emoji16]
Ukija kwenye trekta Massey Ferguson,mahaba tuHayo ni mahaba kama yalivyo mahaba ya mtumiaji wa tecno tu.
Yah najua wanaiga simu nyengine ambazo ni brand maarufu ila ninachozungumzia ni kwamba hakuna haja ya kununua simu yenye specifications nyingi wakati hauzitumii, ndo mana nashauri watu wanunue simu za bei rahisi kulingana na matumizi yao jinsi yalivyo rahisiKuna tofauti kubwa sana kati ya insta ya samsung na tecno.
Tecno ni simu yenye kila kitu,ila kuiweka na samsung kundi moja,ni kuipa sifa tecno ambazo haina.hata yenyewe inajua,ndio maana siku hizi wanajitahidi kuficha jina,na kuiga muundo wa simu kubwa.
Nitajie tecno hata moja ambayo haifanani na simu kubwa kabla yake.
Mbona lg hujatajaTecno ni vifaa vya mawasiliano unavyotumia ukiwa huna hela .ukipata pesa unanunua simu kama samsung ,nokia na iphone..
Watu wanaoitetea tecno kwamba wanaipenda wakipewa samsung na tecno ni nani atachagua tecno??
Watu tuseme ukweli tu kwamba ukiwa umeyumba kidogo unaymtumia tecno hilo halina ubishi lakini mtu akisema ana mapenzi na tecno aende akatubu tu