Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,131
- Thread starter
-
- #121
Kuna ukweli gani hapo? Mwanzo mlikuja na kisingizo kuwa hazipo gms arena hiyo ni sub standard sasa zipo mnakuja na kisingizio oooh vifaa vya mawasiliano... Very funnyWe jamaa umeongea ukweli kabisa
Kwa condition gani mana hapo unaongelea laki 8 . Kuna phantom inauzwa laki 8 ??? Phantom ni bellow laki 8 tena kwa brand new kabisa.Ni nyingi sana ,,sasa kaangalie specs za Phantom 6 plus inayouzwa laki 8,fananisha hata na samsung s5,s6 ambazo ni below laki 5..kwel utatoa laki 8 ununue phantom 6 plus?
Tuanzie hapa.Kuna tofauti kubwa sana kati ya insta ya samsung na tecno.
Tecno ni simu yenye kila kitu,ila kuiweka na samsung kundi moja,ni kuipa sifa tecno ambazo haina.hata yenyewe inajua,ndio maana siku hizi wanajitahidi kuficha jina,na kuiga muundo wa simu kubwa.
Nitajie tecno hata moja ambayo haifanani na simu kubwa kabla yake.
Nawafuatilia sana hawa gsmarena, kwa kweli kwa kitendo hichi gsmarena hadhi yake imeshuka sana.Hello Techs,
Naona sasa ule ubishi wa kiwango cha ubora wa simu za TECNO kinaelekea mwisho.
Uliwahi anzishwa uzi humu, watu fulani wakakomaa kuwa simu za Tecno hazipo GSM ARENA hivyo hazina ubora wa kuuzika ulaya. USA etc.
Sasa GSM ARENA wameziweka rasmi simu za TECNO , je mna jipya jingine?[emoji23][emoji23][emoji23]
Napokea povu la aina yoyote....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibuni. Hii battle imefufuka upya
Source: GSM ARENA - All Tecno phones
Tecno pop 1 inafanana na ipi?Kuna tofauti kubwa sana kati ya insta ya samsung na tecno.
Tecno ni simu yenye kila kitu,ila kuiweka na samsung kundi moja,ni kuipa sifa tecno ambazo haina.hata yenyewe inajua,ndio maana siku hizi wanajitahidi kuficha jina,na kuiga muundo wa simu kubwa.
Nitajie tecno hata moja ambayo haifanani na simu kubwa kabla yake.
Hadhi imeshuka kivipi?Nawafuatilia sana hawa gsmarena, kwa kweli kwa kitendo hichi gsmarena hadhi yake imeshuka sana.
Kwa condition gani mana hapo unaongelea laki 8 . Kuna phantom inauzwa laki 8 ??? Phantom ni bellow laki 8 tena kwa brand new kabisa.
Sasa jiulize hizo brand zako s5/s6 brand new ni sh ngapi? Alaf kumbuka usilete bei za refubrished.
Phantom ni cheap option compared na hizo s5/s6
Phantom imetoka na kuuzwa hadi laki 8 ,,,sasa je kwa sifa zipi hasa hata tuseme iuzwe laki 4?
Alaf kuhusu refurbished..ni mara 100 ununue refurbished ya samsung kulko kununua brandnew ya tecno kwa gharama kubwa.
Kwaiyo wewe unajifanya huzijui tecno zenye bei kubwa wakat specs hakuna kitu.
Mfano angalia simu za Mi ziko na ubora mzur kwa bei nzuri siyo ya kutisha kulko haya madela yanayoitwa tecno.
Tuanzie hapa.
Nipe tofauti ya insta ya Tecno na Samsung?
Ukishindwa hili basi itabid nikuombe ufute post yako.
Sasa mkuu hiyo ni tofauti ya Insta??Tofauti ipo,ita hapo mtu mwenye samsung muombe afungue insta nawewe ufungue insta kwenye tecno yako,kisha wote pandisheni mwanga mpaka mwisho.
Utakacho gundua ktk samsung,picha za insta zitaonyeshwa vizuri sana,bila kujali zimepigwa na kifaa gani.
[emoji23][emoji23][emoji23]ukinunua simu unazingatia kipi?Mtu na akili timamu huwezi toa zaidi ya 150k unanunua tecno,ni wazi huziheshimu pesa zako.
Ukiwekewa Tecno na Sumsung unachagua nini hapoKuna ukweli gani hapo? Mwanzo mlikuja na kisingizo kuwa hazipo gms arena hiyo ni sub standard sasa zipo mnakuja na kisingizio oooh vifaa vya mawasiliano... Very funny
[emoji23][emoji23][emoji23]ukinunua simu unazingatia kipi?
Alaf niambie option ya 150k kwa sasa kwa brand new android smartphone ni ipi?
Sumsung=>SamsungUkiwekewa Tecno na Sumsung unachagua nini hapo
Ukiwekewa Tecno na Sumsung unachagua nini hapo
Si ndio hiyo pop one, na infinix,viwa,itel [emoji1552][emoji3603][emoji1552][emoji3603][emoji23][emoji23]huzijui simu zinazouzwa kkoo???
Anyway nikinunua simu naangalia perfomance yenye ubora,sio camera na charge pekee.
Hahahaha uko smart jamaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]hata huyo aliyeweka hizo simu atakuwa hamaanishi.maana anajua tu utachukua samsung.
Sasa mkuu hiyo ni tofauti ya Insta??
Insta for Android ni ile ile regardless unatumia samsung, nokia, tecno , itel etc.
Unachoongelea wewe ni ubora wa kioo cha simu husiku, ukisema samsung display inaonesha sharp pictures kutokana na higher resolution n.k nitakuelewa ila ukisema insta tofauti husomeki mzeeiya.
Nirudie tena, huwezi ukatengeneza kitu unachotegemea atumie mtumia wa hali ya chini alaf utumie vifaa vya gharama.
Simu lower end huwezi weka mi snapdragon, compas, super amoled display, gorilla glass, nfc etc
Ni vigezo vizuri. Sasa mbona kwa mimi hii Pop1 imekidhi hivyo vigezo vyote.
App ninazotumia ni
Nfield Capi
Jf
Insta
Fb
Camera (japo sio sana)
Youtube
Gmail
Maps
Drive
Chrome
Sina wimbo wala file kubwa. Tones natumia zilizokua pre loaded.
Charge inakaa masaa ya kutosha.
Nahitaji nini cha ziada mpaka ninunue jisimu la 500k ? Eti kisa jina?