Tecno Mobile ndani ya GSM Arena

Nimekusoma mkuu.

Kuna tofauti gani kati ya SUB-STANDARD na LOWER END ?
 
Redirect Notice

 
Kama nina uwezo wa kumiliki simu ya ya 300k, kamwe siwezi kumiliki Tecno.
 
Hizo tecno zilizoingia gsm arena huku bongo hazihuziki sababu bei yake itakuwa juu.
 
Wamezizindua India/bangladesh na soko la karibu na hizo nchi, Gsmarena yupo Active sana hapo
 
Hizo tecno zilizoingia gsm arena huku bongo hazihuziki sababu bei yake itakuwa juu.
Hizo zote zipo na zimezagaa kitaa kama wanawake wa pwani na madera tu.

Phantom 8 ndio adimu kutokana na bei
 
nilitegemea uzi huu uwe ushafika page zaidi ya 30 mpaka sasa!
wenye simu zao siwaoni wakijumuika kuja piga vigelegele
 
Wamezizindua India/bangladesh na soko la karibu na hizo nchi, Gsmarena yupo Active sana hapo
Kwaiyo sasa tecno inauza bidhaa zake india?

nchi zote kubwa duniani si kunakuwa na chombo kinachopima simu zinazoingia nchini mwao. mifano ya hivyo vyombo ni kama TENAA (china), FCC (marekani) na nchi ambazo hazina vyombo vyake hutumia standard za vyombo vyengine, mfano India nae anatumia FCC.

ili simu iuzwe india inabidi iwe imefaulu vipimo kwanza ndo iingie sokoni,kwa maana hiyo kama tecno imeanza kuuzika huko India inamaana imefaulu vipimo ?(sar)level
 
Ndio mkuu lazima ipitie na ipimwe ila swali jengine muhimu zitakazouzwa huko ni model hizo hizo zitakazokuja huku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…