Tecno mobile Mega Thread

cha kukushauri sahz n kuireset cm. na kuiformat memory card, cha kwanza, format memory card, then back up contacts kwa sd card then reset phone. c wajua? ku back up na ku reset?
simu nishawahi kuireset mkuu kwa matatz haya lkn huyu mse**e ni m'bishi kama......
.
 
mkuu unaniumiza roho dah
 
kama ndo hvy bora niitupe tu!
 
na hapa vipi?

Chipset Hummingbird
CPU 1 GHz Cortex-A8
 
Chief Tecno Hawana kiwanda Hong Kong wanacho kipo China ! (development area)
 
Chief Tecno Hawana kiwanda Hong Kong wanacho kipo China ! (development area)

taja simu ya tecno unayoitaka wewe nitaprove hawana kiwanda na hio ya hongkong sijasema mimi arif chowdry ndio aliosema
 
na hapa vipi?

Chipset Hummingbird
CPU 1 GHz Cortex-A8
ni hummingbird ipi? exynos ya samsung? kama inarun android 2.3 kushuka chini its ok ila kama inarun kuanzia android 4 kupanda nayo pia ni mbaya
 
taja simu ya tecno unayoitaka wewe nitaprove hawana kiwanda na hio ya hongkong sijasema mimi arif chowdry ndio aliosema

Sijakuelewa ukiwa na maana gani kwenye red hapo !

btw

Nimeona maelezo haya

''The company started in 2006 in Hong Kong with our first research and development centre in Shanghai, China. For two years, our business focused on the South Asia market. After studying the markets in South East..........''

Chinese mobile phone company Tecno explains why it only does business in Africa
 
just taja simu yoyote iwe challenge kwangu maana nikitaja mimi munaweza sema ni coincidence.
 
just taja simu yoyote iwe challenge kwangu maana nikitaja mimi munaweza sema ni coincidence.

Kama nimekuelewa tokea mwanzo unataka u-prove kwamba simu zote za Tecno zimewekewa tu Jina ila zinamilikiwa na watu tofauti na hilo Jina "TECNO" yaani tuseme ni trade name tu ila simu yenyewe iko.....

Kama ni hivo basi Onesha Phantom A+ Imefanana na simu gani nyingine?
 
ni hummingbird ipi? exynos ya samsung? kama inarun android 2.3 kushuka chini its ok ila kama inarun kuanzia android 4 kupanda nayo pia ni mbaya

Mkuu, TZ hatuna kiwanda cha simu vp, upo unafanya, na kampuni gani, ya kutengeneza simu hapa duniani..
maana unauelewa sana na haya mambo
I APPRECIATE
 
Bado ni siri ila Kwa Nigeria tiyali walisha pata Fununu, na kama mkijua TECNO wana soko kubwa sana Nigeria, Ila inaweza kuwa ni balaa na bei yake inaweza kuwa si ya mchezo, Ila hawa Tecn kwa matolea wanatisha R 7 haina mwezi tiyari wameachia kitu kingine
 
Tatizo custom ROM za mtandaoni zinakuja na majina yake ya simu hasa zile za majina makubwa kama Samsung, LG, Huawei, Sony n.k. Hakuna ambayo imetengezwa kwa ajili ya Tecno.
 
Watu mnaoisifia TECno ebu pitien hili jukwaa muone jins gan watu wanailalamikia tecno kwa matatzo Lukuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…