Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,861
- 828
ubaya wa tecno hazina update kaka.kila update lazima ununue toleo jingine la tecno nabei zake hizo dah
Achana na mimi wew tusitafutiane ban.uwe na tabia ya kufocus kwenye hoja za msingi.Mkuu Mama yako alikufundisha matumizi ya lugha nzuri !Hiyo tabia sijui unaitoa wapi !
Achana na mimi wew tusitafutiane ban.uwe na tabia ya kufocus kwenye hoja za msingi.
Achana na hiyo tafuta kitu Tecno R7, S5 imepigwa bao sana.
Weka clean master, uwe wadelete junk files, pia weka antivirus. Nina Tecno P5 na iko poa sana
mkuu clean master ninayo pamoja na antivirus yake na hua naisafish kila mara pamoj na junk filesWeka clean master, uwe wadelete junk files, pia weka antivirus. Nina Tecno P5 na iko poa sana
Mkiambiwa tecno ni majanga mnabisha, Ona sasa zinavyowahenyesha.hlf sa iv sd storage ni 110mb lkn huyu mse**e bdo inanambia usen*e wake"memory full"
hlf sa iv sd storage ni 110mb lkn huyu mse**e bdo inanambia usen*e wake"memory full"
Nijuavyo tecno huwa hakuna ku upgrade ila ngoja waje wadau labda wananjia ya ziada
ubaya wa tecno hazina update kaka.kila update lazima ununue toleo jingine la tecno nabei zake hizo dah
Sahau hiyo habari mkuu
Buy tecno at your own risk
Namimi yangu inamatatizo makubwa itabid niifungulie thread yake
Mkiambiwa tecno ni majanga mnabisha, Ona sasa zinavyowahenyesha.
Battery low hlf sa iv sd storage ni 110mb lkn huyu mse**e bdo inanambia usen*e wake"memory full"
:focus:
Nasikia pia itakuja na 5.5 au 6", battery 4000mAh, android kitkat, octacore processor (kwahiyo ndio simu ya kwanza kurun octacore), NFC (Ila nasikia chip za MediaTek hazisupport hii kitu sijui kweli?), OTA OTG smart view 13mp camera led notifications, inakuja na preinstalled BBM whatsapp skype viber kik hangout and palmchat na pia it also comes with an external keybord and the price goes for 326 dollars.
Sasa sijui ndio flagship au wametoa tu?
Nina swali pia: Hivi Tecno wana plant Naigeria? Mbona watu wa Nigeria inaelekea ni diehard fans sana wa Tecno? Nilisikia HQ za Tecno Mobile Co ipo China, sasa je Nigeria kuna kiwanda au? Yaani kama Nokia alivyonacho India?