Tecno mobile Mega Thread

Tecno mobile Mega Thread

wakuu nikiwa naangalia kombe la dunia. Kipindi cha na mapumziko nimeona tangazo la toleo jipya la tecno ambayo ni tecno phantom Z.
na kwa haraka baada ya kuigoogle nimepata taarifa hizi...
octa core
processor and 16mp
camera..

mwenye taarifa zaidi atufamishe ubora na ulegevu wa hii simu.
Ahsanta.
cc snipa chief-mkwawa C6 na wengineo wenye ufahamu.

mimi sishauri mtu anunue simu za mediatek atleast for now. so sina cha kuongea kaka
 
Last edited by a moderator:
P5 ndio yenyewe kwa kiasi ulichonacho, na wala hutojutia pesa yako.

ukitaka kununua simu yenye jina kubwa ukanunua samsung au HTC utanunua simu ya ajabu mtu wangu. utajikuta umenunua jina badala ya simu.

Ni ushauri tuu,, mimi ninatumia Tecno L3 nimeifurahia, na kuna watu wanatumia galaxy ace wanaitamani sana tecno yangu, kuhusu memory, camera mbili, 3G na 2G, double line, na battery iko juu sana

poa mkuu
 
wakuu nikiwa naangalia kombe la dunia. Kipindi cha na mapumziko nimeona tangazo la toleo jipya la tecno ambayo ni tecno phantom Z.
na kwa haraka baada ya kuigoogle nimepata taarifa hizi...
octa core
processor and 16mp
camera..

mwenye taarifa zaidi atufamishe ubora na ulegevu wa hii simu.
Ahsanta.
cc snipa chief-mkwawa C6 na wengineo wenye ufahamu.


chief-mkwawa atakushauri kuhusu Mediatek chipset !
Kama kawaida huwa hashauri mtu kununua divice yenye mediatek chip

btw
matumizi yako wewe Remote hayawezi kufanana na ya @c6

Nikiwa na maana kwamba wewe Tecno Z inaweza kukufaa japokuwa ni Mediatek Chipset et all

lakini kiushauri tu !
Bei itakayo uzwa hiyo phantom Z sizani kama itakuwa ni yakawaida sana !

Hivyo basi ni bora ukanunua simu nyingine itakayokufaa tofauti na hiyo Phantom Z

Labda kama unataka kutumia latest TECNO device !

Ama hiyo Octa core imekuvutia sana ! Au hiyo 16MP camera ! Ingawa kwenye camera bado sizani kama itakuwa ni real 16MP !
Niliona Tecno P3 imezidiwa uwezo na camera ya Nokia Asha 200/201

Na nnadhani kwenye Battery capacity ita suck tu !


Ila binafsi sikushauri u pick phantom Z !
 
Last edited by a moderator:
Hbr zenu wandugu,simu yangu ina 2 sophisticated problems:-
1.STORAGE
internal storage 1gb,ex stor8gb hlf nina vitu havifiki hata 1gb in total lkn inasema memory full.Nikiangalia kwny jedwali la sd card storage inaonesha space kubwa imebaki lkn nikicheck chini kwny maelezo AVAILABLE-0.0b na kwny jedwali la internal storage space ilobaki ni kubwa lkn pale chini inaonesha AVAILABLE 425mb.pia nikijarbu kuchange default storage haisaidii na cha kushangaza hata nikifuta baadhi ya vitu haisaidii pia.yan wakuu nashindwa hata kupiga picha kwa sbbu ya storage inasema kua haitoshi.
2.SMS
sms zinachelewa mno kuwa delivered kwa ninaemtumia na kureceive mm pia inasumbua but tatzo hili linakua la muda yan sometimes inasumbua na sometimes haisumbui lkn sms za mtandao(voda&tigo) zina gonga kama kalambwanda.Wakuu naombeni msaada wa haraka maana mademu wngu wanaboeka tukiwasiliana kwa voice calls muda wote maana kudadadeki hata fb hawapo rabda jabulani mmoja tu ndo yupo kule.
N.b:sitaki huu ujinga"BUY TECNO AT YOUR OWN RISK"
 
Kama msg kuna sehemu zina kaa kama kwenye line zimejaa. fungua msg-setting-then option ya pili utazikuta msg kibao hapo.
Angalia usije kushikwa na demu wako kama anajua kutumia tecno
 
pakua sd maid ina delete mafiles ambayo hayahitajiki
 
Namimi yangu inamatatizo makubwa itabid niifungulie thread yake
 
Hii ni rahisi, unapotaka kuzima simu yako kwa kutumia button yako ya siku.kuna msg inatokea yenye heading POWER CONTROL, kuna option kama nne hapo.
power OFF, mute, vibration na loud.
we bofya mute.itazima kwa mute na kuwaka mute, baadae utairudisha kwenye normal.
goodevening!!!!


hapo atakuwa hajatatua tatizo ila amesogeza tatizo mbele ili akutane nalo tena baadae. tukiongelea permanent solution basi Rooting ndio yenyewe. mimi nimeroot L3 nikaondoa startup sound, power off sound pamoja na camera shutter sound
 
Back
Top Bottom