Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,478
Habari , nauliza hii sim ya oneplus ipo Tz na waniuzaje?
bado kaka zilikua kwenye pre order maalum hazijaanza kuuzwa worldwide
Habari , nauliza hii sim ya oneplus ipo Tz na waniuzaje?
LG G3 kwa sasa ndiye mwenyekiti wa Android akisaidiwa na Sony Xperia Z2. Halafu kidogo Samsung S5 na mwisho HTC M8 mengine yote maigizo tu
ishu ya imei si tatizo la tecno ni tatizo la mediatek, mediatek wanatengeneza chip za bei rahisi ili simu ziuzwe bei rahisi lakini chip zao huwezi ku update os version na kila mara imei zina corupt. ipo solution ya kufix imei sema pia sio halali kisheria sababu hutakiwi kuibadilisha.
next time nunua simu yenye snapdragon au processor yoyote ya qualcom ndio best. siku hizi kuna simu zina power kama s5 au zaidi kwa dola 250 tu (shilingi laki 4) mfano wake ni hii simu mpya ya oneplus one.
Faida ya ku root ni ipi?
kwa kutumia hii frameworknmeweza kuroot Tecno Q1 , Tecno N7, Tecno D5, Tecno P5 ,Tecno S3, Tecno S5, Tecno M7 na Tecno M3 jinsi ya kufanikisha zoezi hili fuata hizi procedure
1. download frame root hapa http://dl-1.va.us.xda-developers.co....apk?key=N4y6u7xqkk4YFGzoPHNapg&ts=1401551134
2. install hio applicationna kisha ifungue "open"
3. Click kwenye Install Supersu
4. click Boromir
5. tayari kwisha kazi
Your link is dead
kwa kutumia hii frameworknmeweza kuroot Tecno Q1 , Tecno N7, Tecno D5, Tecno P5 ,Tecno S3, Tecno S5, Tecno M7 na Tecno M3 jinsi ya kufanikisha zoezi hili fuata hizi procedure
1. download frame root hapa ShareMobile - download Framaroot 1 9 2 apk
2. install hio applicationna kisha ifungue "open"
3. Click kwenye Install Supersu
4. click Boromir
5. tayari kwisha kazi
wadau naomben munifahamishe jinc ya kufanya hii kitu maana nataka nifanye hv vitu ktk cm yng kama inawezekana:-
kurun multiple whatsapp a/c
kutumia apps zinazohitaji root access
kuremov pre installed apps
ku-block google ads
kubadil boot animation&boot sound
kuondoa mlio wa kamera
ku-update to android 4.4 kitkat
kufanya apps zisiweze kufutika(ni haya tu ninayoyajua mm kwa sasa so kama kuna mingne naomb mnijuze wakuu)
--wakuu kama nlivyotangulia kuwambia kuwa mm cjui kitu kuhusu kufanya hii kitu so naomben msinielekeze juujuu tafadhali
doh poa mkuu nimekusomaunaweza ku-Root kwa kutumia program inayoitwa Kingo link yake hii hapa....http://www.kingoapp.com/download/android_root.exe
ila usifanye yafuatayo, unaweza kuharibu simu yako kabisa kama utakosea...
**kubadil boot animation (Labda uitoe kabisa lakini sio kuibadili)
**ku-update to android 4.4 kitkat (hii haiwezekani kwa P5, utaharibu simu mazima)