Tecno mobile Mega Thread


Tokea nijiunge humu sijawah kupost kuhusu cm, hii n mara ya kwanza kupost kuhusu cm
 
Last edited by a moderator:

Music umefanyaje?
 
Music umefanyaje?

Ndugu english inakupiga chenga au!chukua tecno weka earphones original then tafuta phone nyingine kama blackberry,nokia,samsung,sony ericsson au htc kisha angalia vifuatavyo.1-quality ya music produced,2-time ya kusikiliza music from when the battery is full to when its empty kisha leta ripoti
 

Hakuna tofaut yyt ile
 

Ebana mimi sio mtaalamu sana lakini kwa kawaida kukwama kwama kwa streaming ni tatizo la network aisee...sasa usi diss vitu tu...
 
Live streaming,mfano nmeshndwa kuangalia kombe la dunia kwa TECNO P9,ila nmeweza kwa Blackberry Q5..

hyo tecno ilkua haziishi sekunde 10 imekwama..

Mwisho wa picha na-conclude simu ya Techno inafanya mengi tu kama hizo simu mnazozisifia..mark my words nimesema mengi sio yote..maana mengine yanabaki ni vikorombwezo tu..vya hapa na pale maana Techno zingine zina specifications kubwa tu...

Tofauti ya Techno na hizo simu nyingine tuseme ni quality tu aisee...mara HD sijui nin na nin etc etc...ila hamna point nyie mnao idiss techno

Nimeandika tu haya maana nikitaka nione hayo matumizi yasisyo ya kawaida..

OuVerrr...Lyamber 1..SwAgG master..!!!! ooooii oooooiiii....!!!!!
 

mkuu we uko arusha ip?
mbona sim za techno huku zinapga kazi fresh tu!
 

poleeeeeeeee
 
mbna haya ma tecno mm nimeyatmia sana lakini sijawahi kuona inizimikie
 
Samahani naomba kujua simu ipo bora kati ya hizi
1. Huawei Y 300
2. Tecno P5
3. Tecno H5

asante kwa taarifa mtakayonipa
 
Msaada tafadhali, natumia tecno P3, nilitumia whatsApp kwa muda lkn kwa sasa inakataa. Nimejaribu kujisajili upya inakataa, inaleta option ya "Adjust date" zaidi ya hapo hakuna option endelevu. Msaada please!!!
 
Msaada tafadhali, natumia tecno P3, nilitumia whatsApp kwa muda lkn kwa sasa inakataa. Nimejaribu kujisajili upya inakataa, inaleta option ya "Adjust date" zaidi ya hapo hakuna option endelevu. Msaada please!!!

rekebisha tarehe ya cm yako itakubali
 
Nina TECNO L3, imekufa, haisomi line na ukifungua settings, sehem ya line management sio active, na ukitaka ku activate, inaandika "settings has stopped"..... kuna mwenye ujuzi wa kutatua hii kitu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ