Alishasema sana chief mkwawa hapa sema mmeamua kua vipofu wa akili kila siku kuuliza maswali yale yale,tena non sense.
Huwezi kua una gari aina ya vitz ukataka kujilinganisha na mwenye range kisa zote ni gaqi,utakua huna akili. Huwezi kua una nyumba ya nyasi ukataka kujilinganisha na mwenye gorofa eti kisa zote ni nyumba,utakua mwehu. Huwezi kua unapikia kuni ukataka kujilinganisha na anaepikia gesi eti kisa yote ni majiko,utakua kilaza.
Tecno ni sawa na nguo za mtumba,siwezi kununua nguo ya mtumba tuseme karume,yenye alama ya nike,nikajilinganisha na droga eti kisa nae kavaa nike,ntakua mburula.
Tecno ni simu zetu kipato cha chini. Nina tab tecno N9, haitoi picha nzuri,na applications nyingi tu nashindwa kuzitumia. JF nipeni uvumbuzi.
Nime-downld apps za camera kama 3,bado tatizo linabaki. Apps zingine kama video camera - poor quality, mini opera, haisomi externa drive,nashindwa ku-save downlded materialsJaribu. Kudwnld app.nyngn y camera na hzo applications ambzo huwez kuzitumia ni kama ipi?
Nime-downld apps za camera kama 3,bado tatizo linabaki. Apps zingine kama video camera - poor quality, mini opera, haisomi externa drive,nashindwa ku-save downlded materials
jamani na mm mwenye p5 jinsi ya kusnapshoot screen ya cm.yangu
Wengi wenye smartphone hawajui zitumia zaidi ni picture taking whatsapp,facebook,etc
"Tecno wanatumia monkey, wale wengine ndo wanatumia gorrila"
Ulinifurahisha sana mkuu
Kutokana na kuwa thread nyingi zimekuwa zikifunguliwa na nyingi zikizungumzia yaleyale, nimeonelea kuziunganisha ili kupata thread moja yenye kila kitu kuhusu simu za tecno
aliyeturoga watanzania kafa na kapotea bora hata angezikwa yaani magari kutoka japan ndio wanayotumia halafu kukejeli watumiaji wa tecno huu ni ulimbukeni
mtu mahitaji yake yamekamilika kwa kutumia tecno we unamdharau kama hapa tanzania wengi wao ni kupiga kupokea sms na kubrowse basi haya nimiliki simu ya milioni kwa ajili ya vitu nitakavyovipata kwa simu ya laki na nusu ? kwa hali ya kawaida ya maisha ya tz ni ujinga tecno leteni mpaka soko walikimbie au washushe bei
#teamTecno
Nililetewa zawadi simu ya Nokia N3 lakini kumbe ilkuwa fake,ukiweka nyimbo mbili memory imejaa.Nikanunua samsung ikiwa na feature zote lakini nayo kumbe haikuwa original ndio maana nimeamua kununua Tecno nikiamini ya kuwa ni original kuliko kuwa na simu ya majina makubwa ambayo sio original.Kuna miongozo ambayo uwa naifata kabla sijanunua simu au kifaa chochote cha electronic,
je kitakidhi mahitaji yangu? Durable? Naweza kupata technical support mtandaoni kiurahisi, bei yake inafit bajeti yangu,
kitakachofata ntaingia google ntatafuta nnachotaka pia nikipata ntaangalia shortcomings zake ntaweza kuzivumilia
tunapokuja kwenye swala tecno, watanzania wengi kipato chetu si cha kutosha kununua high end simu japo matumizi yetu wengi uwa machache hata 50% ya features hazitumiki,
tunapenda tuonekane tunaenda na wakati icho kinatufanya tuishie kuchukua alternative, kama ambavyo mtu mmoja alisema ist na hummer zote gari ilimradi tufike
kwa upande wa wauzaji siwalaumu saana, wao hawajali mteja wao wanajali nini kinauzika, nashangaa mtu hasa anaetembelea jukwaa hili ambae hawezi kusoma makala za chifu mkwawa kuhusu simu za bei nafuu, ambae hawezi kugoogle aone ajionee duniani kuna simu za aina gani zaidi ya tecno, siku izi unaweza nunua simu online tena kwa gharama ndooogo kuliko hata madukani huku bongo,
conclusion: hatuwezi kulazimisha watu wote wawe na vitu orijino, wengine wanapenda mchina kutoka damuni, so kila mtu atasema yake ila muamuzi wa mwisho ni mnunuaji
Nililetewa zawadi simu ya Nokia N3 lakini kumbe ilkuwa fake,ukiweka nyimbo mbili memory imejaa.Nikanunua samsung ikiwa na feature zote lakini nayo kumbe haikuwa original ndio maana nimeamua kununua Tecno nikiamini ya kuwa ni original kuliko kuwa na simu ya majina makubwa ambayo sio original.
Aliekwambia ina specs kama s3 kakudanganya, kabla ya hapo ulikua unatumia simu gani?