vipi nokia tochi nayo ni low end au high end???
ni feature phone - yenye basic functions za simu tuvipi nokia tochi nayo ni low end au high end???
Huwaga n ngumu kwa sababu huwez jua codes za kuandika kwa kuwa ukikosea unaweza ukabrick simu yko
Okay mmesema mengi sana kuhusu matumizi basics sijui ya techno or whatever sasa orodhesheni basi hayo matumizi yasiyo basic ya hizo simu zingine...via situmii techno...tuone matumizi yasiyo ya kawaida i.e samsung galaxy or whatever....!!
Solution hapo ni kuacha au kuna namna nyingine naweza kufanya.maana sijakupata vizuri sana sana post iliyotangulia hapo juu
Watanzania wanazidi kuwa na akili. kwa nini mtu anunue simu ya bei mbaya kwa kufuata jina wakati ipo kama hiyo yenye kukidhi mahitaji yake kwa bei nafuu. Upende usipende Tecno ni simu bora na shindani vilivyo.Hivi karibuni zimeanzishwa thread nyingi hapa JF za watu wakisifia na wengine kukandia simu za TECNO. Lakini hebu tujiulize, ni kwanini watu wengi wanaangukia kwenye simu hizi ambazo zinaonekana kama ni za ubora wa hali ya chini huku wengine wakizisifia kwamba zina ubora wa hali ya juu?
Kwa maoni yangu mi naona hapa kuna mawili:
1. Watu wengi wanaozisifia simu kama tecno, ni watu ambao wana matumizi madogo sana ya simu.. yaani kupiga, kutuma msg, na ku browse internet na mitandao ya kijamii. Mtu akishaona simu aliyo nayo inaweza kufanya mambo hayo pamoja na labda ku play mziki na kupiga picha (regardless ya quality), ana conclude kwamba hiyo ni simu nzuri sana na haina tatizo lolote. Kitu ambacho kwa level yake ni kweli.. Ikumbukwe kwamba hayo niliyotaja ni mambo basic sana ambayo low- end smartphone yoyote hata ya kichina inaweza kufanya! Kwahiyo mi siwalaumu hawa watu. Huo ndio ukweli wa upeo wao kwenye simu. Mtu wa aina hii hahitaji Galaxy Note 3. Tecno inamtosha kabisa na wala huwezi kumlaumu akiisifia..
2. Kwa upande mwingine nawalaumu sana wauzaji wa simu. Siku hizi ukitembelea maduka mengi ya simu huwezi kukuta low-end smartphones za Samsung, HTC, Motorola n.k.. Simu zote utakazokuta zenye majina makubwa ni zile za bei ghali tuu.. Lakini ukweli ni kwamba kuna simu nzuri tu za samsung, nokia, HTC, Sony n.k ambazo ni za bei ya chini karibu sawa tu na hizo tecno, ila zina ubora wa hali ya juu! Tatizo simu hizi hazipo madukani hivyo kuwalazimu watu kuchagua kati ya tecno au Galaxy s5. Kwa uchumi wetu, haishangazi kuona wengi wakiangukia kwenye tecno. Hebu chukulia mfano wa simu hizi mbili:
TECNO F7 PHANTOM A: Internal Memory 4Gb, RAM 1Gb, Processor 1Ghz, Display 5inch (293ppi) Bei ~ 450,000/=
SAMSUNG GALAXY NOTE 1: Internal memory 16Gb, RAM 1Gb, Processor 1.4Ghz, Display 5.3inch (285ppi) Bei ~ 450,000/=
Tatizo sasa.. Ukitembelea madukani utazikuta TECNO phantom zimejaa tele lakini Note 1 unaweza kumaliza maduka yote bila kuipata..! Nina uhakika ukimuwekea mtu simu hizo mbili side by side ukamuambia achague, matokeo yanaweza kuwa tofauti sana na hali ilivyo sasa.
Hivi karibuni zimeanzishwa thread nyingi hapa JF za watu wakisifia na wengine kukandia simu za TECNO. Lakini hebu tujiulize, ni kwanini watu wengi wanaangukia kwenye simu hizi ambazo zinaonekana kama ni za ubora wa hali ya chini huku wengine wakizisifia kwamba zina ubora wa hali ya juu?
Kwa maoni yangu mi naona hapa kuna mawili:
1. Watu wengi wanaozisifia simu kama tecno, ni watu ambao wana matumizi madogo sana ya simu.. yaani kupiga, kutuma msg, na ku browse internet na mitandao ya kijamii. Mtu akishaona simu aliyo nayo inaweza kufanya mambo hayo pamoja na labda ku play mziki na kupiga picha (regardless ya quality), ana conclude kwamba hiyo ni simu nzuri sana na haina tatizo lolote. Kitu ambacho kwa level yake ni kweli.. Ikumbukwe kwamba hayo niliyotaja ni mambo basic sana ambayo low- end smartphone yoyote hata ya kichina inaweza kufanya! Kwahiyo mi siwalaumu hawa watu. Huo ndio ukweli wa upeo wao kwenye simu. Mtu wa aina hii hahitaji Galaxy Note 3. Tecno inamtosha kabisa na wala huwezi kumlaumu akiisifia..
2. Kwa upande mwingine nawalaumu sana wauzaji wa simu. Siku hizi ukitembelea maduka mengi ya simu huwezi kukuta low-end smartphones za Samsung, HTC, Motorola n.k.. Simu zote utakazokuta zenye majina makubwa ni zile za bei ghali tuu.. Lakini ukweli ni kwamba kuna simu nzuri tu za samsung, nokia, HTC, Sony n.k ambazo ni za bei ya chini karibu sawa tu na hizo tecno, ila zina ubora wa hali ya juu! Tatizo simu hizi hazipo madukani hivyo kuwalazimu watu kuchagua kati ya tecno au Galaxy s5. Kwa uchumi wetu, haishangazi kuona wengi wakiangukia kwenye tecno. Hebu chukulia mfano wa simu hizi mbili:
TECNO F7 PHANTOM A: Internal Memory 4Gb, RAM 1Gb, Processor 1Ghz, Display 5inch (293ppi) Bei ~ 450,000/=
SAMSUNG GALAXY NOTE 1: Internal memory 16Gb, RAM 1Gb, Processor 1.4Ghz, Display 5.3inch (285ppi) Bei ~ 450,000/=
Tatizo sasa.. Ukitembelea madukani utazikuta TECNO phantom zimejaa tele lakini Note 1 unaweza kumaliza maduka yote bila kuipata..! Nina uhakika ukimuwekea mtu simu hizo mbili side by side ukamuambia achague, matokeo yanaweza kuwa tofauti sana na hali ilivyo sasa.
NA vp namna ya kutoa logo ya tecno na sauti pindi unapowasha simu?
kaka note 1 ilitoka 2011 sawa na s2 sasa hv unlocked kkoo hadi laki 3 unazipata. Ukiona mtu anauza laki 6 ujue ana stock ya zamani anataka akulalie. Even s3 ambayo ni bora kwa note 1 haiuzw laki 6 siku hizi
Weye ndugu ulichoona ni simu tu. Mbona huongelei magari? kwa nini watz hawanunui mabenzi wamekazana na vimeo vya kijapani? kwa nini huzungumzii ujenzi wa nyumba, mbona watz wote hawajengi masaki?
Mbona watz wote hawavai nguo special na ready made ila wanavaa mitumba?
Mbona watz wote hawaendi kutibiwa india?
Samahani kidogo mkuu unaposema "unlocked" unamaanisha nini?