Tecno mobile Mega Thread

ymollel
Jipindue uwezavyo,bishana uwezavyo,ila mwisho wa siku kubali kuwa Tecno n simu nzuri kwa umasikin wetu ila kuifananisha Tecno na Galaxy.!!bange hizi..

Kioo cha tecno juani hauon kabisa,.
Baadhi ya Watu wanalalamika waki restore sim zao ndo mwisho haiwak tena..

Mi sidhan kama duniani watu ni wajinga kiasi cha kununu samsung,iphones,bb,etc. Kwa bei kubwa wakat tecno ya bei ndogo ipo,ila n kwasababu haina vwango..

Kitu ambacho kilifanya niidhau tecno,n camera,nilijaribu kuishndanisha camera ya Tecno phantom ambayo n 8mp na ya nokia e63 ambayo n 3.2mp na ya blackberry q5 ambayo n 5mp,eti ya blackberry(5mp)na ya nokia e63(3.2mp) ikawa bora kuliko ya tecno(8mp)..
 
Last edited by a moderator:
mkuu unaniumiza roho dah

Yaani ndo ukweli sio kwamba naisifu tu. Application nimedownload za nyingi tu nikitulia nitakupa list. Nafikiri hizi simu zipo original na feki.inawezekana walikukamatisha hii maana sijapata tatizo lolote tangu nimeinunua december.
 

100% lie
 
Last edited by a moderator:

Mimi pia nimewahi tumia P5, kwa tatizo la sms nikweli hiyo simu inatatizo hilo, ila kwa tatizo la kwanza nadhan nihyo simu jaribu ku fanyia reset kwa kuirestore uanze upya.
 
Mkuu, TZ hatuna kiwanda cha simu vp, upo unafanya, na kampuni gani, ya kutengeneza simu hapa duniani..
maana unauelewa sana na haya mambo
I APPRECIATE

Unamaanisha Chifu-mkwawa anafanyia Tecno Mobile au?
 
Last edited by a moderator:


Unajua kuwa Galaxy S4 huwa zinaripuka ?
 
Last edited by a moderator:
Na kwa taarifa ni kwamba hakuna simu ambayo juani inaonesha vizuri. Labda kifaa cha kindle pek yake

zipo kaka karibia symbian belle zote na baadhi ya lumia zinagonga hadi 10,000 nits hiyo ni mara 2 au 3 ya simu ya kawaida. pia simu za nokia zinakuja na clear black display ambazo zinareflect mwanga wa jua yet zinaondoa na glare na ukiangalia lumia hizi mpya kama 1520 ina technology mpya inaitwa assertive display ambayo tumeona demo yake inavyoweza kufanya



lumia 1520 ni hio nyekundu pia kama still huamini cheki n hii video

Nokia Lumia 1520 sunlight readability enhancement mode (Apical Assertive Display) - YouTube

hii technology imekuwa developed na apical
 
ni hummingbird ipi? exynos ya samsung? kama inarun android 2.3 kushuka chini its ok ila kama inarun kuanzia android 4 kupanda nayo pia ni mbaya

ni samsung, ina os 2.3 sasa vipi, hummingbird nayo inaoparate vizuri?
 

Umetisha mkuu kiukweli nakupongeza kwa hilo ufafanuzi wako upo wazi + ushahidi wakutosha.Big Up:thumbup:
 
Unajua kuwa Galaxy S4 huwa zinaripuka ?

Hahahha..
Mkuu snipa hata mimi natumia Tecno pad min,lakin n kwasababu ya umasikin tu,ningekua na ela ningenunua samsung tab 3..

Somtymz tusiwe wazalendo wa kijinga kwa vtu tunavyotumia,tecno hampat samsung..
 
Last edited by a moderator:
Hahahha..
Mkuu snipa hata mimi natumia Tecno pad min,lakin n kwasababu ya umasikin tu,ningekua na ela ningenunua samsung tab 3..

Somtymz tusiwe wazalendo wa kijinga kwa vtu tunavyotumia,tecno hampat samsung..
unajua zile symbian za zamani hazikuwa low end ukiwa na simu kama n95 au e63 kama hivyo unatumia flagship ya zamani. zilikuwa zinauzwa mamilion ya hela ila sababu zimepitwa na wakati ndio maana ukazipata kwa bei rahisi. simu kama n95 sensor yake ya camera ni kubwa kama ilivyo simu za sasa hivyo usishangae ikipiga picha nzuri kuliko simu za sasa. na quality ya picha si megapixel ni vitu vyengine tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…