Tecno m3 nikiondoa playstore madhara gan yatatokea

45 king

Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
69
Reaction score
18
Habarini wandugu nina techno m3 nime iroot sasa nataka kung'oa playstore kuna madhara gan kwa cmu? Na application zilizopo? Niki reset itafaa? Naombeni msaada
 
Unapoozungumzia simu unagusia upande wa Hardware au Software ?
Applications haziwezi pata effects yeyote, na unapozungumzia kureset unakua haueleweki inshort pangilia vizuri maswali yako !

Na sioni umuhimu wakuondoa playstore kama una akili timamu na mawazo chanya.
 
unapoondoa playstore ni sawa na kufunga mlango halali wa kuingizia mizigo bandarini, halafu unataka kutumia njia za panya
 
Simu upande wa software... Kureset i mean factory data reset... Naitoa playstore coz imejaza nafasi kubwa sana
 
Mollel me nataka za panya je ku update itakuaje

Umuhimu wa Google playstore:
1. ku search na ku install software halali za android (legal and safe apps)
2. Kuondoa/Uninstalling software from the device
3. Inaweka kumbukumbu ya software zote ulizowahi ku Install, In case umesahau apps unazozipenda basi itakuwa saved kwenye playstore.
4. Inasaidia kujua ni updates zipi zimetoka mpya/ apps zipi zinahitaji updates automatically.
5. Inaonesha reviews za watu mbalimbali kuhusu apps pamoja na rating zao
 
Haina effect kwa cm ila ina effect kwa we m2miaj. Zen swal lingine. Kwann unatak kuiotoa? 4wat purpose?
 
kuondoa Play Store inaweza kusababisha matatizo kama vile kuondokewa na Google Play Services ambayo huu ni msingi kwa Applications nyingine za Google kama YouTube, SnapSeed, Picasa au Google Plus..
Pia kumbuka Applications kutoka kwenye store za nje ya Google play zinakua loaded naalwares na illegal adwares,hivyo kuiweka simu yako katika hatari ya kuwa attacked na Virus..

USHAURI: Kama Play Store imechukua nafasi, jaribu unistall updates za System Applications nyingine kama Gmail, YouTube na kuondoa Apps za TECNO kama Palmchat.. USITOTE PLAY STORE tafadhali
 
Asante sanaa
 
Umuhimu wa Google playstore:
1. ku search na ku install software halali za android (legal and safe apps)
2. Kuondoa/Uninstalling software from the device
3. Inaweka kumbukumbu ya software zote ulizowahi ku Install, In case umesahau apps unazozipenda basi itakuwa saved kwenye playstore.
4. Inasaidia kujua ni updates zipi zimetoka mpya/ apps zipi zinahitaji updates automatically.
5. Inaonesha reviews za watu mbalimbali kuhusu apps pamoja na rating zao

Asantee
 
Nilikua naona inajaza nafasi

Fanya ku clear data za apps zote... lkn ujue kwamba utapoteza data ivyo itakubidi u confirm tena ac zako eg watsapp uta lose convos lakini faida utaweza pata kanafasi kengine kataongezeka. Na hautotakiwa kurestore
 
kuondoa Play Store inaweza kusababisha matatizo kama vile kuondokewa na Google Play Services ambayo huu ni msingi kwa Applications nyingine za Google kama YouTube, SnapSeed, Picasa au Google Plus..
Pia kumbuka Applications kutoka kwenye store za nje ya Google play zinakua loaded naalwares na illegal adwares,hivyo kuiweka simu yako katika hatari ya kuwa attacked na Virus..

USHAURI: Kama Play Store imechukua nafasi, jaribu unistall updates za System Applications nyingine kama Gmail, YouTube na kuondoa Apps za TECNO kama Palmchat.. USITOTE PLAY STORE tafadhali

Mimi kwangu hii Play store inazengua kila nikitaka ku-install kitu inasema "No connection" wakati naweza ku-surf ktk web mbali mbali je nifanye ku-solve hili tatizo? OS ni Android 4.1.2
 
unapoondoa playstore ni sawa na kufunga mlango halali wa kuingizia mizigo bandarini, halafu unataka kutumia njia za panya

kuondoa playstore hakuna madhara yoyote, wala sio kutaka kutumia njia za panya. ukiangalia kuna app store nyingi tu ambazo ni za halali kabisa. wachina wana app store zao, amazon, opera hata nokia wana app store ambazo hazina uhusiano na google

sema hasara atakayopata jamaa kama ataondoa na asipoweka app store ingine itabidi awe ana imstall na ku update manually ambayo sio njia safe
 
Mimi kwangu hii Play store inazengua kila nikitaka ku-install kitu inasema "No connection" wakati naweza ku-surf ktk web mbali mbali je nifanye ku-solve hili tatizo? OS ni Android 4.1.2
Mkuu hapo nenda kwenye Applications Manager.. tafuta Play Store then Clear Cache... baada ya hapo futa App Data.. then force stop..

Pia angalia APN zako kama zipo vizuri maana kuna wakati hawa Tigo na Voda wanabadilisha zile APN kwenda tigoweb au WAP ambazo zina speed ndogo sana
 
Back
Top Bottom