M MRAU Senior Member Joined Feb 1, 2013 Posts 156 Reaction score 235 May 13, 2014 #1 Msaada wa kuflash simu tajwa hapo juu, naomba mwenye ujuzi wa hii kitu anisaidie.
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,745 Reaction score 6,656 May 13, 2014 #2 Umejaribu google wakakusmbiaje?.hebu anzia huko ikishindikana huko ndio uje hapa jamvini Sent from my iPhone using JamiiForums app
Umejaribu google wakakusmbiaje?.hebu anzia huko ikishindikana huko ndio uje hapa jamvini Sent from my iPhone using JamiiForums app
M MRAU Senior Member Joined Feb 1, 2013 Posts 156 Reaction score 235 May 13, 2014 Thread starter #3 Ishu ni kwamba sikumbuki password
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 May 14, 2014 #4 Ingekuwa uliweka email ya gmail. Ingekuwa rahisi mno
Masuonline Senior Member Joined Jun 4, 2013 Posts 194 Reaction score 21 May 14, 2014 #5 MRAU said: Msaada wa kuflash simu tajwa hapo juu, naomba mwenye ujuzi wa hii kitu anisaidie. Click to expand... wala haiitaji tuition.zima simu yako,ikizima kisha bonyeza kitufe kimoja cha kuongezea ama kupunguza sauti pamoja na batani ya kuwashia vyote kwa pamoja then utaona tu mwenyewe.asante sana
MRAU said: Msaada wa kuflash simu tajwa hapo juu, naomba mwenye ujuzi wa hii kitu anisaidie. Click to expand... wala haiitaji tuition.zima simu yako,ikizima kisha bonyeza kitufe kimoja cha kuongezea ama kupunguza sauti pamoja na batani ya kuwashia vyote kwa pamoja then utaona tu mwenyewe.asante sana
Kafiti JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 538 Reaction score 220 May 15, 2014 #6 Hold volume up/down button and press power button
Adolph JF-Expert Member Joined Sep 26, 2010 Posts 895 Reaction score 346 May 15, 2014 #7 volume up+ home button + power button.. ikiwaka achia power button. chagua wipe data/reset
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 14,047 Reaction score 34,475 May 15, 2014 #8 Jephta2003 said: Umejaribu google wakakusmbiaje?.hebu anzia huko ikishindikana huko ndio uje hapa jamvini Sent from my iPhone using JamiiForums app Click to expand... Mkubwa hata google wanatumia results to JF.
Jephta2003 said: Umejaribu google wakakusmbiaje?.hebu anzia huko ikishindikana huko ndio uje hapa jamvini Sent from my iPhone using JamiiForums app Click to expand... Mkubwa hata google wanatumia results to JF.